Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

Wewe toka hapo kwa dada yako labda akili zitakurudi.
Unadhani Mimi ni maskini mwenzako?
Nimewasemea Watanzania, binafsi kila siku home inatumika zaidi ya elfu 40.
Matumizi ya nyumbani tu si chini ya milioni kwa mwezi.
Pimbi wewe
Poor you!!!

Sasa kwa matumizi hayo ndo umekua msemaji wa hao watoto kushindwa kuriport shule kwa hoja kama hizo ulizozielezea?

Unafikiri ukitaja kiasi cha pesa unachotumia kwa siku kwa familia yako ndio hoja zako zitapokelewa na kuaminika zaidi?
 
Wewe toka hapo kwa dada yako labda akili zitakurudi.
Unadhani Mimi ni maskini mwenzako?
Nimewasemea Watanzania, binafsi kila siku home inatumika zaidi ya elfu 40.
Matumizi ya nyumbani tu si chini ya milioni kwa mwezi.
Pimbi wewe
Unamsemea mtqnzabia gani fwala wewe. Alafu hayo ya unatumia elfu 40 sisi yanatuhusu nini? Ndio maana nikakuambia hunaga akili, fwala kabisa wewe
 
Habari!

Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote.

Yote kwa yote serikali ndio sababu kuu isikwepe wajibu wake.

Sababu hizi ndizo zilizopelekea mpaka sasa watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kutokuripoti shule:

1. Umaskini
Pamoja na serikali kujinasibu kugawa elimu bure lakini kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza anapaswa kuandaliwa angalau kwa sh. Laki mbili za mahitaji yake muhimu ya shule. Serikali ya CCM ione aibu kwakuwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru imetengeneza wamaskini wengi sana. Kuna Mtanzania laki mbili ya pamoja hawezi kuipata mpaka auze shamba lake ambalo linampa msosi.

2. Ukosefu wa ajira
Mzazi aliyeuza mali zake kumsomesha mwanae akidhani ataajiriwa ili aikomboe familia yake leo hii kijana kamaliza degree na hana ajira na kulima hataki kageuka mdhululaji mjini, hana faida kwa wazazi. Sasa mzazi kujitoa kafara kwa mtoto mwingine hawezi.

3. Udhaifu wa elimu ya Kitanzanja
Waliosoma kama hawajaajiriwa hawana utofauti na wasiosoma ndani ya jamii zao. Wazazi hawana msukumo wa kuwasomesha watoto wao.

Serikali isiyowajibika kwa watu wake kazini
 
Laki 2 ni ndogo sana, vifaa tu vya kuingia darasani bila kuvaa viatu na uniform ni kati sh 80,000 hadi 120,000
 
Mtoto wangu alifaulu vizuri Form IV nikampeleka Form VI hakupenda kuendelea na A Level akaniambia anachotaka kufanya. Tukamlazimisha kwenda Form V baada ya miezi 4 akaniambia tena I am not comfortable na akanipa sababu zake na mifano juu. Nikam-convince kuwa amalize Form VI then ataenda anakotaka. Baada ya kumaliza Term ya kwanza hakutaka kurudi shule. Akaniambia anachotaka kusomea nikaona anyway so long as hajakataa kusoma ngoja nimpeleke anakotaka. Sijajutia uamuzi wake.

Sahihi kabisa, sasa hivi mtoto kwenda kusoma form V & VI ni kupoteza muda. Bora aende chuo cha ufundi atatoka na kitu cha maana, sio kwenda kuvuta umri shuleni.
 
Paragraph Yako ya mwisho umejaribu kuanika Ubovu wa mitaala yetu inayozalisha wasomi wa vijiwemni

Hongera sana. Haya ni matokeo ya Mitaala isiyokidhi Mahitaji ya jamii matokeo yake kuwa na wasomi wa vijiweni wanaocheza kamari
Trump aliwahi kusema kwamba" leo hii ukiwachukua wamarekani wote ukaweweka Afrika na waafrika wote ukawaweka Amerika baada ya miaka mitano Marekani itakuwa Afrika na Afrika itakuwa Marekani" haya maneno ya Trump yana maana kubwa na Mimi nimemuelewa kwamba
i) Siku zote mmarekani yupo katika kufikiri suluhisho la matatizo na sio kulalamika, waafrika tumezidi sana kulalamika. Marekani hata ikiwa Afrika leo wataweza kuendelea sana.

ii)Siku zote waafrika hawataki kutumia walichonacho wanaamini katika kutumia vya wengine kwa hiyo wakiwa Marekani hawataweza kufanya utafiti kugundua vipya wataridhika tu na hapo wamarekani watafanya Mapinduzi

iii) katika ya mstari, Trump anaendelea kusisitiza mfumo wetu wa Elimu ni kamili ila wasomi wanashindwa kuutumia ipasavyo. Mmarekani akija Afrika na akatumia mfumo huu huu bado atafanya mambo makubwa.

Narudia tena mfumo wetu wa Elimu ni muafaka kwa maendeleo yetu ila wasomi wameunajisi na kuudharaulisha sana. Kutwa kucha wahitimu wanashinda kwenye vibanda vya kamari, vijiwe vya ulevi huku wakishindwa kutumia Elimu walizonazo kutatua matatizo.

Ajira isingekuwa tatizo kama wasomi wasingekuwa wanakimbia vijijini kujishughulisha na kilimo
 
Wewe toka hapo kwa dada yako labda akili zitakurudi.
Unadhani Mimi ni maskini mwenzako?
Nimewasemea Watanzania, binafsi kila siku home inatumika zaidi ya elfu 40.
Matumizi ya nyumbani tu si chini ya milioni kwa mwezi.
Pimbi wewe
Sawa majivuno!
 
Trump aliwahi kusema kwamba" leo hii ukiwachukua wamarekani wote ukaweweka Afrika na waafrika wote ukawaweka Amerika baada ya miaka mitano Marekani itakuwa Afrika na Afrika itakuwa Marekani" haya maneno ya Trump yana maana kubwa na Mimi nimemuelewa kwamba
i) Siku zote mmarekani yupo katika kufikiri suluhisho la matatizo na sio kulalamika, waafrika tumezidi sana kulalamika. Marekani hata ikiwa Afrika leo wataweza kuendelea sana.

ii)Siku zote waafrika hawataki kutumia walichonacho wanaamini katika kutumia vya wengine kwa hiyo wakiwa Marekani hawataweza kufanya utafiti kugundua vipya wataridhika tu na hapo wamarekani watafanya Mapinduzi

iii) katika ya mstari, Trump anaendelea kusisitiza mfumo wetu wa Elimu ni kamili ila wasomi wanashindwa kuutumia ipasavyo. Mmarekani akija Afrika na akatumia mfumo huu huu bado atafanya mambo makubwa.

Narudia tena mfumo wetu wa Elimu ni muafaka kwa maendeleo yetu ila wasomi wameunajisi na kuudharaulisha sana. Kutwa kucha wahitimu wanashinda kwenye vibanda vya kamari, vijiwe vya ulevi huku wakishindwa kutumia Elimu walizonazo kutatua matatizo.

Ajira isingekuwa tatizo kama wasomi wasingekuwa wanakimbia vijijini kujishughulisha na kilimo
Hats hao unaowasifia wameanzia mbaali sana na wamepitia revolution, riots na struggle mbalimbali ,
Nao wamelalamika kwenye kazi za viwandan ,mapinduzi ya kilimo n.k

Wamebadilisha tawala mbalimbali walizo formulate ,abdication,revolution n.k

Huwez kuendelea pasipo mfumo bora haswa siasa na uongozi ,hivyo ndivyo vina determine future.

Angalia hata uchina,Japan ,Italy na hata Muingereza .
 
Swala la elimu yapaswa iachwe siasa, anayetaka somesha asomeshe, asiyetaka asisomeshe
 
Uko sahihi kabisa,maisha yamekua magumu sana uku mtaani,hao wanaopiga makelele tayari wameshiba maana wanakula milo mitatu kwa siku,hawawezi elewa kinachoendelea kwa mtu asie na kipato maalumu hata mlo mmoja ni shughuli pevu... [emoji174]
Ni kosa la nani?
 
Hoja hazina mashiko.

Mkuu, peleka mtoto shule,usimuangamize na kumuua kwa ujinga. Umaskini chanzo kikuu ni mtu binafsi sio serikali.

Hao wazazi wasiopeleka shule ndio hao hao maskini wanaokimbia majukumu,kazi na uvivu wa kukata kujihangaisha. Na wengine Wana Plan kugeuza watoto kitega uchumi na nguvu kazi za kubeba majukumu ya wazazi. Mfano kuwaozesha,kufanya kazi za kilimo,kuchunga mifugo n.k
Na ni huyu huyu mleta mada kila siku yupo anahangaika na Marehemu ambae hayupo tena Duniani,akikumbushwa kuwa adeal na waliopo hai wenye kushika mstakabali wa Nchi yetu anakuwa mkali kama pilipili
 
Habari!

Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote.

Yote kwa yote serikali ndio sababu kuu isikwepe wajibu wake.

Sababu hizi ndizo zilizopelekea mpaka sasa watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kutokuripoti shule:

1. Umaskini
Pamoja na serikali kujinasibu kugawa elimu bure lakini kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza anapaswa kuandaliwa angalau kwa sh. Laki mbili za mahitaji yake muhimu ya shule. Serikali ya CCM ione aibu kwakuwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru imetengeneza wamaskini wengi sana. Kuna Mtanzania laki mbili ya pamoja hawezi kuipata mpaka auze shamba lake ambalo linampa msosi.

2. Ukosefu wa ajira
Mzazi aliyeuza mali zake kumsomesha mwanae akidhani ataajiriwa ili aikomboe familia yake leo hii kijana kamaliza degree na hana ajira na kulima hataki kageuka mdhululaji mjini, hana faida kwa wazazi. Sasa mzazi kujitoa kafara kwa mtoto mwingine hawezi.

3. Udhaifu wa elimu ya Kitanzanja
Waliosoma kama hawajaajiriwa hawana utofauti na wasiosoma ndani ya jamii zao. Wazazi hawana msukumo wa kuwasomesha watoto wao.
Watoto kuacha kupangiwa shule zilizokaribu yao wanapangiwa mbali mwisho wa siku wazazi wanaombwa rushwa ili watoto warudishwe shule za karibu
 
Halafu kuna watu wanasema elimu bure!
Hapa Mbeya mjini ili umpeleke motto shule unatakiwa:
1. Uchonge dawati
2. Peleka rim
3. Uniform pea mbili hii ni pamoja na masweta.
4. Ndoo na ufagio
5. Daftari kaunta kumi.
6. Vipimo kwa daktari.
7. Form imechukuliwa kwa elfu tatu na baadhi ya shule elfu kumi.
Ni vitu vyepesi ukivitazama lakini ni mzigo mzito kwa maskini. Maana wengine wameshindwa hata kuchukua form. Elimu bure ni siasa.
 
Nadhani hapa chanzo ni 'Mwendakuzimu JPM'.Tuendelee kumtupia kashfa zote,hawa waliopo sio makosa yao.
Naam Jiwe katuharibia nchi yetu
Watanzania kwa unafiki ni kiboko, yaani ikifika wakati mashuleni walishaandaliwa mitaala iliyomtaja Jiwe kwenye kila somo
 
Mtoto kasoma Feza katoka na division one yake safi kama mzazi nimpeleke akareport kawe ukwamani shule ya kata ? Watasubili sana
 
Hii mada haikuhusu
Wewe hata TBC hutazami, huko mikoani migambo wanashika wazazi wasiopeleka watoto shule
 
Back
Top Bottom