Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Alipohitimu form IV ukampeleka Form VI!!!?.Mtoto wangu alifaulu vizuri Form IV nikampeleka Form VI hakupenda kuendelea na A Level akaniambia anachotaka kufanya. Tukamlazimisha kwenda Form V baada ya miezi 4 akaniambia tena I am not comfortable na akanipa sababu zake na mifano juu. Nikam-convince kuwa amalize Form VI then ataenda anakotaka. Baada ya kumaliza Term ya kwanza hakutaka kurudi shule. Akaniambia anachotaka kusomea nikaona anyway so long as hajakataa kusoma ngoja nimpeleke anakotaka. Sijajutia uamuzi wake.
Kisha ukampeleka Form V?.