Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

Wewe toka hapo kwa dada yako labda akili zitakurudi.
Unadhani Mimi ni maskini mwenzako?
Nimewasemea Watanzania, binafsi kila siku home inatumika zaidi ya elfu 40.
Matumizi ya nyumbani tu si chini ya milioni kwa mwezi.
Pimbi wewe
Poor you!!!

Sasa kwa matumizi hayo ndo umekua msemaji wa hao watoto kushindwa kuriport shule kwa hoja kama hizo ulizozielezea?

Unafikiri ukitaja kiasi cha pesa unachotumia kwa siku kwa familia yako ndio hoja zako zitapokelewa na kuaminika zaidi?
 
Wewe toka hapo kwa dada yako labda akili zitakurudi.
Unadhani Mimi ni maskini mwenzako?
Nimewasemea Watanzania, binafsi kila siku home inatumika zaidi ya elfu 40.
Matumizi ya nyumbani tu si chini ya milioni kwa mwezi.
Pimbi wewe
Unamsemea mtqnzabia gani fwala wewe. Alafu hayo ya unatumia elfu 40 sisi yanatuhusu nini? Ndio maana nikakuambia hunaga akili, fwala kabisa wewe
 

Serikali isiyowajibika kwa watu wake kazini
 
Laki 2 ni ndogo sana, vifaa tu vya kuingia darasani bila kuvaa viatu na uniform ni kati sh 80,000 hadi 120,000
 

Sahihi kabisa, sasa hivi mtoto kwenda kusoma form V & VI ni kupoteza muda. Bora aende chuo cha ufundi atatoka na kitu cha maana, sio kwenda kuvuta umri shuleni.
 
Paragraph Yako ya mwisho umejaribu kuanika Ubovu wa mitaala yetu inayozalisha wasomi wa vijiwemni

Hongera sana. Haya ni matokeo ya Mitaala isiyokidhi Mahitaji ya jamii matokeo yake kuwa na wasomi wa vijiweni wanaocheza kamari
Trump aliwahi kusema kwamba" leo hii ukiwachukua wamarekani wote ukaweweka Afrika na waafrika wote ukawaweka Amerika baada ya miaka mitano Marekani itakuwa Afrika na Afrika itakuwa Marekani" haya maneno ya Trump yana maana kubwa na Mimi nimemuelewa kwamba
i) Siku zote mmarekani yupo katika kufikiri suluhisho la matatizo na sio kulalamika, waafrika tumezidi sana kulalamika. Marekani hata ikiwa Afrika leo wataweza kuendelea sana.

ii)Siku zote waafrika hawataki kutumia walichonacho wanaamini katika kutumia vya wengine kwa hiyo wakiwa Marekani hawataweza kufanya utafiti kugundua vipya wataridhika tu na hapo wamarekani watafanya Mapinduzi

iii) katika ya mstari, Trump anaendelea kusisitiza mfumo wetu wa Elimu ni kamili ila wasomi wanashindwa kuutumia ipasavyo. Mmarekani akija Afrika na akatumia mfumo huu huu bado atafanya mambo makubwa.

Narudia tena mfumo wetu wa Elimu ni muafaka kwa maendeleo yetu ila wasomi wameunajisi na kuudharaulisha sana. Kutwa kucha wahitimu wanashinda kwenye vibanda vya kamari, vijiwe vya ulevi huku wakishindwa kutumia Elimu walizonazo kutatua matatizo.

Ajira isingekuwa tatizo kama wasomi wasingekuwa wanakimbia vijijini kujishughulisha na kilimo
 
Wewe toka hapo kwa dada yako labda akili zitakurudi.
Unadhani Mimi ni maskini mwenzako?
Nimewasemea Watanzania, binafsi kila siku home inatumika zaidi ya elfu 40.
Matumizi ya nyumbani tu si chini ya milioni kwa mwezi.
Pimbi wewe
Sawa majivuno!
 
Hats hao unaowasifia wameanzia mbaali sana na wamepitia revolution, riots na struggle mbalimbali ,
Nao wamelalamika kwenye kazi za viwandan ,mapinduzi ya kilimo n.k

Wamebadilisha tawala mbalimbali walizo formulate ,abdication,revolution n.k

Huwez kuendelea pasipo mfumo bora haswa siasa na uongozi ,hivyo ndivyo vina determine future.

Angalia hata uchina,Japan ,Italy na hata Muingereza .
 
Swala la elimu yapaswa iachwe siasa, anayetaka somesha asomeshe, asiyetaka asisomeshe
 
Uko sahihi kabisa,maisha yamekua magumu sana uku mtaani,hao wanaopiga makelele tayari wameshiba maana wanakula milo mitatu kwa siku,hawawezi elewa kinachoendelea kwa mtu asie na kipato maalumu hata mlo mmoja ni shughuli pevu... [emoji174]
Ni kosa la nani?
 
Na ni huyu huyu mleta mada kila siku yupo anahangaika na Marehemu ambae hayupo tena Duniani,akikumbushwa kuwa adeal na waliopo hai wenye kushika mstakabali wa Nchi yetu anakuwa mkali kama pilipili
 
Watoto kuacha kupangiwa shule zilizokaribu yao wanapangiwa mbali mwisho wa siku wazazi wanaombwa rushwa ili watoto warudishwe shule za karibu
 
Halafu kuna watu wanasema elimu bure!
 
Nadhani hapa chanzo ni 'Mwendakuzimu JPM'.Tuendelee kumtupia kashfa zote,hawa waliopo sio makosa yao.
Naam Jiwe katuharibia nchi yetu
Watanzania kwa unafiki ni kiboko, yaani ikifika wakati mashuleni walishaandaliwa mitaala iliyomtaja Jiwe kwenye kila somo
 
Mtoto kasoma Feza katoka na division one yake safi kama mzazi nimpeleke akareport kawe ukwamani shule ya kata ? Watasubili sana
 
Mtoto kasoma Feza katoka na division one yake safi kama mzazi nimpeleke akareport kawe ukwamani shule ya kata ? Watasubili sana
Hii mada haikuhusu
Wewe hata TBC hutazami, huko mikoani migambo wanashika wazazi wasiopeleka watoto shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…