Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

Mahi, we jau sana πŸ˜… unajua huyo mtu mi sijazoeana naye πŸ™ƒ ndiyo maana hata kum mention nikaona noma.
Mtazoeana kuanzia sasa hivi, hana noma kabisa intell hujamzoea tu.!!

Mahi kumbe unamcrush mtu kimya kimya unakuta na tai shingoni na mi nipo jaman 😹😹😹
 
Unakojozwa raundi zote, hakuna kupoa πŸ˜… kama mtu hawezi issac77 ana dawa za kuwaongezea nguvu.
Hizo dawa miyeyusho niliwahi kutumia matokeo yake nimeenda dakika ya 8 nikapizi nilijiskia vibaya kishenzi afu nili uziwa laki Moja jamaa aliniambia ukitumia unachekewa kupizi yaani dakika 20 ndio unatoa bao la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…