Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Bado kuna baadhi ya walimwengu ni mwema na wote wanaweza kushirikiana na wazazi katika kulinda watoto ambao ndio taifa la kesho.Hao watanzania wenye jukumu la kuwalinda watoto ndio wanaowafanyia ukatili, sio ndugu wala jirani anaeaminika kwa nyakati hizi, na hili sio tatizo la uswahilini tu, ni tatizo la kila sehemu mpaka vijijini
Mzazi ukishindea kumlinda mtoto wako usitegemee walimwengu wamlinde