Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

Mleta mada [emoji28][emoji28],naamini watt wako,wanoko mbaya,inaonekana ndo waleta taarifa na unoko wa mitaani kwako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Baba ametoka kazini saa12 jioni yuko hoi?
Watoto wanaenda kumpokea:
Watoto: Baba huyoo, baba huyoo, babaaaa!
Watoto: Shikamoo Baba
Baba: Marahabaa wanangu, hamjambo?
Watoto: Hatujambo baba
Watoto: Baba ulipokuwa kazini alikuja mjomba ana ndevu kama Osama. Ametupa ela hii (wanampa noti ya 10,000/=), tuwekee baba, sisi tutapoteza!
Baba: (anadondoka chini na kuzimia!)
 
Zamani tulikuwa huru sana nchi ilikua nzuri hii tuliijua mitaa na mitaa ilitujua ilikua hakuna uwezekano wa mtoto kufanyiwa ukatili wa namna yeyote japo watoto wakike walikua na mipaka yao ya kutembea ila watoto wakiume hakuna Kona hatukuijua

Watoto wa kiume nakumbuka tulitambuana kwa marika yetu na tukawa marafiki hata kwa watoto wanaishi umbali wa zaidi ya kilomita30 na kilammoja wetu alijua nyumbani kwa wenzake na wazazi walijua marafiki wawatoto wao japo wazazi walikua hawafahamiani ilikua ni marachache sana kwa wazazi kufahamiana

Ntakati zile haziwezi jirudia mambo yameharibika Kwa sasa watu hawana utu tena yaani hizi balaa za leo zingelikuwepo kipindi kile kusingekuwa na nchi salama
 
Back
Top Bottom