Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

Bado kuna baadhi ya walimwengu ni mwema na wote wanaweza kushirikiana na wazazi katika kulinda watoto ambao ndio taifa la kesho.
 
Hapo kwenye kuendesha ringi nimekupata sana!
 
Ni kweli, japo uzururaji wa namna hiyo kwa watoto ni hatari sana afya na akili zao haswa kulingana na maisha ya sasa.
Yes kuzurura ni hatari sana sweethreat ila watoto wa Mbagala na Tandale wanasikia basi?
 
Watoto wengi wanakuwa na tabia mbaya kutokana na marafiki.Mtoto akitoka shuleni nakuja nyumbani na rafiki mfukuze huyo rafiki.Urafiki hauji kwenye umli mdogo.Unaweza ukashangaa mtoto anakuwa na tabia za hajabu tofauti malezi ya happy nyumbani
 
Enz zangu niko na manati ilikuwa hatari.

Cku hizi nikirud home Ndege wamejaa home

Enz zetu hata kunguru hawasogei
 
Watoto wengi wanakuwa na tabia mbaya kutokana na marafiki.Mtoto akitoka shuleni nakuja nyumbani na rafiki mfukuze huyo rafiki.Urafiki hauji kwenye umli mdogo.Unaweza ukashangaa mtoto anakuwa na tabia za hajabu tofauti malezi ya happy nyumbani
Acha wajifunze socialization
 
What do they socialize?.Bad behavior or what !!
Theory yako sijaikubali kwasababu kimfano mimi tangu darasa la 3 naachiwa nyumba na ninaishi na rafki zangu na siku develop tabia mbovu mpka nikawa role model wa watoto mtaan lakin et kusema ufukuze marafiki zake wakija kwako si kitu poa itamchengea hofu
 
Watoto wangu niliwahamisha kutoka kayumba kuja shule hizi za english medium sasa sku moja niko mivumoni nashangaa wanajua mitaa yote wakati shule ipo goba ndio kuniambia baba kule kayumba tulikua tunatoroka mno..sasa hii ndo ilikua mitaa yetu ya kuzurura aisee niligopa sana...ila hizi shule za english medium zinasaidia kubana sana watoro...na watoto
 
Nashauri TISS iajiri watoto tupu.

Mkuu wa Upelelezi asizidi miaka 15
Uzuri wao anachokijua atakueleza jinsi anavyokijua. Hamna kupindisha maneno wala kufikiria maslahi.
 
Mimi mtaa ninapoishi watoto wengi wanaishia form two na hii intokana na makundi ya vijana wanaowazunguka.Wavulana ni kuishia kuvuta bangi na kazi za bodaboda.Wasichana ni kudanga kwenda mbele na mimba zisizotegemewa. Kuendekeza urafiki kwa watoto ni kuongeza mateja na chanzo Cha mmomonyoko wa maadili. Wewe you are the one among ten na hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…