Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Mzazi anaplay part kubwa sana katika kuamua future ya kizazi chake,,,,babu zetu walibweteka walilala saa moja jioni na wakalala usingizi mnono usiku kucha masaa kumi na mbili mtu amelala leo hii tupo hapa tulipo kwasababu hicho ndo walichoturisisha. Pia walilima chakula cha kula na walipokula wakashiba walicheza mziki usiku kucha na kungonoka.
Uko sahihi
 
Ukiwaambia watu kuwa uzazi sio kuingia leba au kupeleka watoto english medium pekee, mijitu inatunisha misuli ya kichwa kutetea uzwazwa.

Sasahivi kuna kizazi chenye mmomonyoko mkubwa wa kimaadili kwakuwa wazazi wanahisi wao walishamaliza kwenye kutoa huduma za kifedha pekee.

Mitoto mingi ya saivi haina heshima,haina utu,haina hofu,haina akili yaani ni MIZOMBIE. Mitoto haina future wala VISION. Ni huzuni huko siku za usoni jamii itakavyokuja kuparanganyika chanzo cha yote uzazi wa hovyohovyo bila kufata misinga na kuwa na malengo.
Tuwaombee mema.
 
Na maskini ndo wanazaa hovyohovyo wakijifariji eti kila mtoto huja na riziki yake.
Na ikitokea mmoja akafanikiwa hawezi kuendelea kwa sababu mzigo wa wategemezi ni mkubwa.
Yaaani hutoboi....maskni wanapenda sana ngono ukimshauri uzazi wa mpango anadhani unamzuia asitombe, atakwambia Mungu kasema tuzae tuijaze dunia kumbe kimsingi anatetea ngono
 
Mambo ya "kila mtoto anakuja na rizki yake" hayapo tena. Zaa watoto, tena shaurianeni na mwenzako vizuri idadi ya watoto, interval yao kiumri, ili watoto wapate mahitaji kwa viwango vizuri.

Ni dhambi kuleta watoto duniani na huwezi kuwahudumia, wanashindia uji na maji kisa wanakuja na rizki zao.
 
Ndio ni mindset ya mtu maskini.

Mnaanza na mtaji mdogo mkiwa pamoja, biashara ikianza kukua Tamaa inamwingia.......anaona faida mnayogawana ni ndogo anata Mpasue biashara kila mtu akafie mbele akiamini akiwa peke yake atatusua zaidi.

Mwisho biashara aliyoenda kufungua inakufa nazima.

nitakupa mifano ya biashara za makundi

1. Akudo Impact
2. TMK bongofleva
3. East Coast
4. Yamoto Band
wale waliokuwa nyota walipanda kibri na jeuri wakadhani wakijiengua wanaweza kuanzisha band zao binafsi wakatusua mpunga.😅😅😅😅
Hata wanawake wanaotaka uhuru baada ya kufanikiwa kwa wanaume zao waliowaoa ni wale waliokulia ktk umaskini wa kutisha. Akishika mali akili inawehuka, anatamani sasa awe yeye kama yeye.
 
Hasa binti akiwa ameshaona maisha ya watu huko mitandaoni, mara puu akafika dar na kidooogo akajaliwa matako au uzuri wa uso, hapo tena kama familia ndo mmempoteza binti.
Kwa karne ya sasa Mwanamke akiwa na Tako basi ni Laana.
Kila baya linamfika hata kama mitandaoni atajidai ana maisha mazuri na Bata
 
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.

Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa kujitegemea.

Kuna maelfu ya watoto maskini wanateseka sana hapa duniani kutokana na ujinga, uzembe na upumbavu wa wazazi wanao zaa hovyo hovyo kama mapanya bila malengo wala uwezo wa kutoa huduma na malezi.

Na hili ni janga kubwa sana kwa nchi maskini hasa barani Afrika.

Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na anaipa serikali mzigo mzito wa kugharamia ujinga wake na umaskini wa kizazi chake.

Wazazi maskini huzaa watoto kwa dhana uchwara kwamba
"watoto ni baraka" Lakini ndio haohao wa kwanza kutelekeza familia zao, kukwepa majukumu na uwajibikaji na wengine hufikia hatua hadi ya kuua au kujiua wao na familia zao kwa kigezo kwamba maisha ni magumu.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hili dunia, Tambua kwamba, Maisha hayajawahi kuwa marahisi, Maisha si rahisi na Maisha hayatakuja kuwa marahisi kwa watu wazembe, wajinga na maskini.

Ewe kijana kabla hujafungua hiyo zipu yako kuleta watoto, Tambua kwamba Dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako. Jipange na hakikisha uko vizuri kiuchumi.

Ewe binti kabla hujapanua hayo mapaja, tambua kwamba dunia haina huruma na haitakuja kukuonea huruma wewe na kizazi chako.

Kabla mtu hujafikiria kuzaa watoto kwenye hii dunia, tambua kwamba una wajibu wa kuhudumia na kulea hicho kiumbe wewe mwenyewe, Sio kulia lia kuanza kusumbua watu, ndugu, jamaa na marafiki wakusadie malezi, pesa au mahitaji kwa wanao uliozaa wewe mwenyewe.

Mwanaume kama unajua huna uwezo wa kuhudumia funga hiyo zipu. Mwanamke kama unajua huna uwezo wa kuhudumia usivue chupi.

Hakuna mtu anakusaidia kuzaa watoto kwenye hii dunia.Vivyo hivyo Usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.

Watoto si baraka, Na Hakuna Mungu wa kuja kukusaidia kulea wanao. Kama una hii dhana futa huko kichwani. Ukishaleta mtoto kwenye hii dunia tambua kwamba wewe mwenyewe ndiye utawajibika kuhudumia.

This world 🌍 is not for the weak, ignorant, lazy and poor people.
You either go hard, go home or you die.

In the jungle of life salvation is largely on your hands.

Hakuna Mtu au Mungu wa kukuhurumia wewe na kizazi chako.

I'm out.
Ukweli mchungu..
 
Back
Top Bottom