Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

Uko sahihi
 
Tuwaombee mema.
 
Na maskini ndo wanazaa hovyohovyo wakijifariji eti kila mtoto huja na riziki yake.
Na ikitokea mmoja akafanikiwa hawezi kuendelea kwa sababu mzigo wa wategemezi ni mkubwa.
Yaaani hutoboi....maskni wanapenda sana ngono ukimshauri uzazi wa mpango anadhani unamzuia asitombe, atakwambia Mungu kasema tuzae tuijaze dunia kumbe kimsingi anatetea ngono
 
Mambo ya "kila mtoto anakuja na rizki yake" hayapo tena. Zaa watoto, tena shaurianeni na mwenzako vizuri idadi ya watoto, interval yao kiumri, ili watoto wapate mahitaji kwa viwango vizuri.

Ni dhambi kuleta watoto duniani na huwezi kuwahudumia, wanashindia uji na maji kisa wanakuja na rizki zao.
 
Makahaba woote almost wote wametoka kwenye familia zilizochoka hasa kwa kuzaana kama panya huku uwezo wa uchumi kidogo
Hata wanawake wanaotaka uhuru baada ya kufanikiwa kwa wanaume zao waliowaoa ni wale waliokulia ktk umaskini wa kutisha. Akishika mali akili inawehuka, anatamani sasa awe yeye kama yeye.
 
Ndio ni mindset ya mtu maskini.

Mnaanza na mtaji mdogo mkiwa pamoja, biashara ikianza kukua Tamaa inamwingia.......anaona faida mnayogawana ni ndogo anata Mpasue biashara kila mtu akafie mbele akiamini akiwa peke yake atatusua zaidi.

Mwisho biashara aliyoenda kufungua inakufa nazima.

nitakupa mifano ya biashara za makundi

1. Akudo Impact
2. TMK bongofleva
3. East Coast
4. Yamoto Band
wale waliokuwa nyota walipanda kibri na jeuri wakadhani wakijiengua wanaweza kuanzisha band zao binafsi wakatusua mpunga.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hata wanawake wanaotaka uhuru baada ya kufanikiwa kwa wanaume zao waliowaoa ni wale waliokulia ktk umaskini wa kutisha. Akishika mali akili inawehuka, anatamani sasa awe yeye kama yeye.
 
Hasa binti akiwa ameshaona maisha ya watu huko mitandaoni, mara puu akafika dar na kidooogo akajaliwa matako au uzuri wa uso, hapo tena kama familia ndo mmempoteza binti.
Kwa karne ya sasa Mwanamke akiwa na Tako basi ni Laana.
Kila baya linamfika hata kama mitandaoni atajidai ana maisha mazuri na Bata
 
Ukweli mchungu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…