Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote.

Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.

Cha ajabu
 
Cha ajabu zaidi vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wanaonekana wakubwa kuliko vijana wenzao waliozaliwa miaka ya 90 .
 
Back
Top Bottom