ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote.
Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.
Cha ajabu
Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.
Cha ajabu