ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hiv inatokana na nin hyo mwenyewe nishawahi kujiuliza kuhusu hloTafiti yako ipo sahihi tena ongeza na hawa wa 1993..
Huu si utafiti tayari au?Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote.
Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.
Cha ajabu
Pole, jiandaeUko sahihi kabisa
Nachoona watoto wa 93,94,95 wengi wao wana hofu ya ukimwi sababu wameziona dalili za mwanzo za ukimwi kama kukong'oroka, nywele kunyonyoka, kuharisha na kukonda hivyo mara nyingi wanaingia kwenye sex wakiwa na hofu hiyo hivyo wengi wao wanatumia kondom.
Ila vitoto vya 2000s haviogopi ukimwi hata kidogo na mimi ni shuhuda kuna kitoto kimoja nimeingia nacho faragha , ile naanza kuchomoa ndomu kikanipokonya na kuirusha huko [emoji2]
Kizazi hicho kina stress sana na ndio cha kwanza kukata tamaa haswa kwa waliosoma .Hiv inatokana na nin hyo mwenyewe nishawahi kujiuliza kuhusu hlo
Umeongea kweli tupuUko sahihi kabisa
Nachoona watoto wa 93,94,95 wengi wao wana hofu ya ukimwi sababu wameziona dalili za mwanzo za ukimwi kama kukong'oroka, nywele kunyonyoka, kuharisha na kukonda hivyo mara nyingi wanaingia kwenye sex wakiwa na hofu hiyo hivyo wengi wao wanatumia kondom.
Ila vitoto vya 2000s haviogopi ukimwi hata kidogo na mimi ni shuhuda kuna kitoto kimoja nimeingia nacho faragha , ile naanza kuchomoa ndomu kikanipokonya na kuirusha huko [emoji2]
Haaaaa....nilienda kupimaPole, jiandae
hiyo picha ya vileo inahusiana na mada mkuuSijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote.
Cha ajabu wako watoto wengi wa 99,2000,2001,2002 ukikutana nao wana watoto binafsi me nimeligindua hilo.
Cha ajabu