Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Udikteta umeanzia mbalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa ufupi alikuwa ni refa, kiungo, pia kocha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udikteta umeanzia mbalii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa ufupi alikuwa ni refa, kiungo, pia kocha.
Jamaniiinakumbuka kiwanja chetu cha mtaa kilichukuliwa na wakubwa kwa mda baada ya uwanja wao mkubwa kuchukuliwa kufanyiwa mikutano ya kidini pande za kawe home,, sasa wakawa wanatunyanyasa kila ikifika saa kumi tu, wanakuja kutufukuza wacheze wao.. tukaunda tume ya kuwaondoa hawa ma bro,, tukakubaliana twende beach tukachukue mbigili za kutosha tukazimwage uwanja mzima mpaka magolini.. tukaenda tukajaza mifuko na mifuko, tukazimwaga usiku zote,,, kimbembe kesho yake, wakubwa wanakuja kucheza hawajatukuta wakaona mtelezo,, sie tumekaa tunawaangali tu,, maana wengine walikua na viatu wengine hawana,, wengine walioanguka wanakutana nazo,, mpira haukuchezeka siku hiyo, wakaanz kutusaka tukazoe miba tuliyoimwaga uwanja mzima. hakuna aliyekubali kama kamwaga mbigili.. na wao ndo ikawa mwisho wao kucheza pale wakahamia uwanja mwengine,, vijana tukarudi tukaanza kuzitoa mojamoja japo hatukuzimaliza,, ila shuhuli nasi ilitupata ya kuchomwa nazo maana hatukuzimaliza,, zilikuja kuisha kwa kutuchoma, unaiokota unaenda kuitupa..
Unakaa darasani unawaza breki tu jamani
Hiii naijuaaKuna tabia tulikuwa tunagombaniswa hasa na majamaa ambao ni wakubwa kuliko sisi.
Tunagombanishwa watoto tunaolingana umri au kukaribiana.
Mmoja anaambiwa mtukane fulani, halafu huyo uliyemtukana anachochewa na kuambiwa eti unatukanwa na fulani, unamuogopa nini kwa anaweza kukufanya nini, mpige.
Hapo mnajazwa upepo halafu mnaanza kuzipiga ngumi mwishiwe mnatika manundu kwa kuumizana halafu mkitaka kulia mnasifiwa hadi majikuta hamlii japo mnaumia kwa maumivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nae alikuwa zezetaaHiki cheo nilikitumia kwa uaminfu mkuu..kuna siku nimeingia sculi j3 kaptula imejaa mafuta ya maandazi weekend ckufua....nikamwita RAIA mmoja nkamwambia anipe ya kwake alaf namfuta jina LA wasumbufu. Axee mstarini kwenye ukaguzi alichapwa za kutosha mwili mzima mtaalamu nimetulia tuu
Mi nilikuwa nikichezaa lazima sketi niirushe juu watu waone chupi nyekunduMamdogo na shost zake ndio ilikua zao kucheza lede basi mm sikai mbali ili nione vichupi 😀🙁🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wale ambao hawajui kucheza...hawana ufundi...udambwi dambwi...walikua wanakaa beki....mafundi ndo ma strikers ....na mpira hauna formation... So kunakuwa na mabeki na washambuliaji...na ukubwa wa timu inategemea na wachezaji waliojitokeza
Umenichekesha mpaka nimeliaaa,sipati picha mlivyomlaumunoma sana enzi izo nakumbuka tulikua tunachezea sana mpira wa karatasi (nyanka) kuna dogo mmoja wa kishua akaja na mpira wa gozi mzee ...tukatamania kichiz sema dogo anabania ...bei ulikua unauzwa 1300 tukasema kama vipi tujichange tulichanga kama wiki mbili ivi ikatosha hel ya kununulia gozi na bahat nzuri skuio ilikua ni jumapili kwenye gulio huwa wanapunguza bei ...
basi mzee tukanunua mpira ule tukamkabidhi daudi msenjelwa kwakua tulienda jioni zaid (mana jion zaidi ndo bei inapungua zaidi)
ikabidi mpira tumuachie daudi tutacheza kesho tukirudi shule
jumatatu shule kamakawa darasani muda auendi tunawaza kurudi tukachezee (tukapute) gozi
mda wa kurudi umefika ile kufika kwa kina daudi tunaona anatia huruma tu kumbe shule hajaenda ameshinda anachezea gozi tu mpaka akalipasua kwenye msumali wa paa la nyumba
tulimmaindi kichizi yan mpira umeharibika hatujaugusa hata kidogo hadi leo nikimkumbusha huwa tunaishia kucheka tu
Kuwa na ukurutu ilikuwa kawaida sana, tena kuoga ikikuwa mara moja moja.Jamani jidaini tu mlikuwa wachafu aiseeee
Sasa ishalainika au bado migumuEnzi hizo mimi nilikua sina hata viatu usiombe nikakukanyaga bora ukanyagwe na malaika
Aaaa basi we utakuwa mzee wa k tuHamna ninachoshabikia kwa sasa
MmmhhhAaaa basi we utakuwa mzee wa k tu
Hakika kabisa mi nilikuwaga hata sijisomeiii yaan ni michezo tu ,mara rede,dama, Ukimwi, yaan ilikuwa balaaKufaulu elimu ya msingi ilikua kama miujiza, kwanza hata haujui tofauti ya kufaulu na kufeli. Unachojua ni kumaliza darasa la saba tu. Kwanini msifurahie michezo hasa hasa soka?
Halaf hapo unaenda zako peku mpaka shule basi mi nilikuaga navua viatu nami nitembee peku yaan naona wale wanaotembea peku wanafaidi kumbe wale wanatembea peku hawana viatu [emoji23][emoji23][emoji23] sio kwamba wamependaKuwa na ukurutu ilikuwa kawaida sana, tena kuoga ikikuwa mara moja moja.
Wakati wa kwenda shule ilikuwa ni mwendo wa kunawa kichwa, mikono na miguu tu.
Mtoto kuwa na machacha kwenye visigino vya miguu lilikuwa jambo la kawaida sana.
Kwa hiyo hapo mnaweza cheza 18 kwa 18 si ndioWale ambao hawajui kucheza...hawana ufundi...udambwi dambwi...walikua wanakaa beki....mafundi ndo ma strikers ....na mpira hauna formation... So kunakuwa na mabeki na washambuliaji...na ukubwa wa timu inategemea na wachezaji waliojitokeza
Aisee, hayo maumivu sijui yalikuwaje mkuunoma sana enzi izo nakumbuka tulikua tunachezea sana mpira wa karatasi (nyanka) kuna dogo mmoja wa kishua akaja na mpira wa gozi mzee ...tukatamania kichiz sema dogo anabania ...bei ulikua unauzwa 1300 tukasema kama vipi tujichange tulichanga kama wiki mbili ivi ikatosha hel ya kununulia gozi na bahat nzuri skuio ilikua ni jumapili kwenye gulio huwa wanapunguza bei ...
basi mzee tukanunua mpira ule tukamkabidhi daudi msenjelwa kwakua tulienda jioni zaid (mana jion zaidi ndo bei inapungua zaidi)
ikabidi mpira tumuachie daudi tutacheza kesho tukirudi shule
jumatatu shule kamakawa darasani muda auendi tunawaza kurudi tukachezee (tukapute) gozi
mda wa kurudi umefika ile kufika kwa kina daudi tunaona anatia huruma tu kumbe shule hajaenda ameshinda anachezea gozi tu mpaka akalipasua kwenye msumali wa paa la nyumba
tulimmaindi kichizi yan mpira umeharibika hatujaugusa hata kidogo hadi leo nikimkumbusha huwa tunaishia kucheka tu