Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Haaahaa🤓🤓Aya turudi baada ya tangazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaa🤓🤓Aya turudi baada ya tangazo
ora kama tumeelewana 😂😂😂Tuliosoma Cuba,TUSHAELEWA [emoji1]
Ni ID ya mwanamke,Unajua hii ID yako nilikuw nadhan ni Ke😀😀😀 ila hapo unaposema unakula wakishua bure nimepata mshtuko wa moyoView attachment 2602484
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uhakika mkuuB
ora kama tumeelewana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sidaiwi chochote. Mpwa wangu Leejay49 alishakutumia, tena na yakutolea kabisa 😅😅😅Upo mrembo 🙂 mchana unataka kula nini? ugali nyama choma au chips makange. Nataka uagize nimwite Half american aje alipie😀😀😀
Half american mke wako kaja tupashe kiporo. Mjomba Analyse bado nakudai hela yangi🤣
Shida mnaingia na gia ya kujifanya mpo ikuluKuna moja niliingia aiseee dem anataka twende restaurant za masak uko expensive nikaona isiwe kesi nikalivua pendo
Af anatulia mwenyeweKuku wa kisasa anakamatika kiurahisi
Hahahhahaaa amna kakaShida mnaingia na gia ya kujifanya mpo ikulu
😅😅😅, basi ndo ajue ameshafeli mpaka hapo tushamstukiaNimesha mshtukia huyo 😅😅😅.
Anakusanya mtaji wa mbege
Sasa kwa mfano kama mimi nawezaje kutambua nimeusisimua mtima wako kwa kuniangalia tu. Lazima kuna vifactor unavyo ambavyo mimi naweza kuelewa hapa Hannah nimemshikaKuna mtu ukimuona tu unajikuta mwili unasisimka vile alivyo tu. Sasa hapo hamna vigezo specific cha msingi ausisimue mtima.
Nampea.
😅😅😅 Mbaya ukishamjua, hakutishi. Amefeli pakubwa huyo😅😅😅, basi ndo ajue ameshafeli mpaka hapo tushamstukia
sawasawa,😅😅😅 Mbaya ukishamjua, hakutishi. Amefeli pakubwa huyo