Watoto wa kishua wepesi sana, hawana kona kona

Upo mrembo πŸ™‚ mchana unataka kula nini? ugali nyama choma au chips makange. Nataka uagize nimwite Half american aje alipieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Half american mke wako kaja tupashe kiporo. Mjomba Analyse bado nakudai hela yangi🀣
Sidaiwi chochote. Mpwa wangu Leejay49 alishakutumia, tena na yakutolea kabisa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna mtu ukimuona tu unajikuta mwili unasisimka vile alivyo tu. Sasa hapo hamna vigezo specific cha msingi ausisimue mtima.
Nampea.
Sasa kwa mfano kama mimi nawezaje kutambua nimeusisimua mtima wako kwa kuniangalia tu. Lazima kuna vifactor unavyo ambavyo mimi naweza kuelewa hapa Hannah nimemshika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…