Watoto wa kishua wepesi sana, hawana kona kona

Wakishua wengi hawajui mchezo. Vitu vingi wanakuja kujifunzia wakiwa free hasa vyuoni. Kuna mmoja tulikutana chuo alikua anaelewa sana lifestyle yangu ya geto ila akaanza kunikera hajui kuosha vyombo wala kupika ila alichonishangaza anajua kunyonga weed
 
Jiandae na mtihani wa form 6 kijana, ukimaliza angalau ukifika university utakuwa na akili za kupost vya maana JF, STUPID WAHED SHWAINI WEWE😏😌
 
Ukitaka kuwala kama wote penda sehemu wanazopenda.....,

Mfano kuwa mtu wa gym sana, jogging, swimming pools, cinema......, Huko ndo wajuba tunakutana nao na tunaishi nao kama wote......

Sema sijui ni mimi ninaokutana nao au vip ila wengi wanapenda rough sex yaani vile vitu ambavyo huwa wanaviona kwenye porno wanavijaribu live......,

Ila mleta uzi hukutupa code unawapataje maana ninavyojua wenyewe huwa wanapenda zaidi muonekano wa nje.....,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…