Watoto wa kishua wepesi sana, hawana kona kona

Watoto wa kishua wepesi sana, hawana kona kona

Wakishua wengi hawajui mchezo. Vitu vingi wanakuja kujifunzia wakiwa free hasa vyuoni. Kuna mmoja tulikutana chuo alikua anaelewa sana lifestyle yangu ya geto ila akaanza kunikera hajui kuosha vyombo wala kupika ila alichonishangaza anajua kunyonga weed
Sasa akijua ilo inatosha mzee
 
Ukitaka kuwala kama wote penda sehemu wanazopenda.....,

Mfano kuwa mtu wa gym sana, jogging, swimming pools, cinema......, Huko ndo wajuba tunakutana nao na tunaishi nao kama wote......

Sema sijui ni mimi ninaokutana nao au vip ila wengi wanapenda rough sex yaani vile vitu ambavyo huwa wanaviona kwenye porno wanavijaribu live......,

Ila mleta uzi hukutupa code unawapataje maana ninavyojua wenyewe huwa wanapenda zaidi muonekano wa nje.....,
😂😂😂 muonekano wangu siwezi kujielezea mimi yeye ndio anajielezea
 
Back
Top Bottom