Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #61
ndio ananza sex chat
Ahaaa LenieWakishua hawakai gongolamboto
Af nilisahau wewe wa mkoani kukuelezea vigumu sana ππWewe ukiona pisi nyeupe basi tayari ni wa kishua....[emoji23] Watoto wa kishua hawaonekani kirahisi, hawajichanganyi na walala hoi....
Nita waachaBasi itakuwa hiyo sexchat ni bora zaidi kwao anytime anakunwa akiwa pahali popote π
Hivi watoto wa kishua wapo humu JF?Lenie Mtoto wa kishua!
Hawapa utapigwa na kitu kizito ila kuna washuaHivi watoto wa kishua wapo humu JF?
SawaNita waacha
Wapo wengi mkuu!Hivi watoto wa kishua wapo humu JF?
Mimi ni wa Arusha bruh kwahiyo naelewa[emoji23]Af nilisahau wewe wa mkoani kukuelezea vigumu sana [emoji23][emoji23]
Ahahah wewe embu muache kijana ππWapo wengi mkuu!
Na mie ndivyo Nijuavyo kuna washua wengi sana humu ila watoto wa kushua hawapoHawapa utapigwa na kitu kizito ila kuna washua
Lenie Wakishua sana, mchunguze tu!Ndio wakishua unawakuta revant
Hapo tumeelewana kuna masingle mother na single women ambao wanatafuta sponserNa mie ndivyo Nijuavyo kuna washua wengi sana humu ila watoto wa kushua hawapo
NIsadie kuwatag kijana awaone!Ahahah wewe embu muache kijana ππ
Nitajie watatu tu kisha tuanze kuwatathiminiWapo wengi mkuu!
Me nakaa Masaki, dogo tuheshimianeWakishua hawakai gongolamboto
Huyu kijana wako anafeli sana. Hajui JF kama wakishua mpo!πAbee wa kishua mwenzangu, umeniita?