Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Sasa km mnajua hao wanao left group, mnawatumia nyie wenyewe, mnalalama nn? Ukiona mtu analeft group ujue huko anakoenda yuko anaemfataa.

Tatizo lenu mnasumbuliwa na UNAFIKI.
wabongo bhana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜₯πŸ˜₯ cocastic ,mbona unawatetea kwa nguvu sana hawa mabwabwa, ebu tupe yaliyomo ndani kwenye jicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…