Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #201
😥😥 cocastic ,mbona unawatetea kwa nguvu sana hawa mabwabwa, ebu tupe yaliyomo ndani kwenye jicho.Sasa km mnajua hao wanao left group, mnawatumia nyie wenyewe, mnalalama nn? Ukiona mtu analeft group ujue huko anakoenda yuko anaemfataa.
Tatizo lenu mnasumbuliwa na UNAFIKI.
wabongo bhana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]