Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Uliwezaje kuchomokas? Kweli wanapiga miguubyote? Shida moha tu..uvivu kufanya kazi wao wanasubiri ulete pesa tuu ndanii mmmmm saaa hao wafaa kuwa wake?
Mwanamke bora asubiri nilete pesa tu kuliko kujifanya manka afuu show mbovu......tanga nakumbuka kuamka saa 4 na kuingia ndani mapema kabla halijazama, weekend tanga yaaanza alhamisi.....sikukuu ya idd ya tanga yaliwa week 2 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ukijifanya unawai wai nguo zalowekwa maji unashindia taulo au msuli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Weee sio poa. Sio CP wala AI
Hatuelewi kiufupi kila siku watoto wapya.πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila tumalizane na ruqaiya kwanza mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aseeee ni hatari mpambanie akupikie chapati ya kurasa 8 na biriani ya rangi 7 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Aseeee ni hatari mpambanie akupikie chapati ya kurasa 8 na biriani ya rangi 7 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Daaah aiseee ngoja kwanza.
Nina mpango huoo ila mpaka niwe na uhakika wa sehemu ya tukio ukiacha zile zinazo zoeleka..
Ila soon as possible πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
""Ruqaiya soon as possible """
 
Ila usisahau kama vipo vya mchongoπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…