Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wana balaaa na laana kama zote 😅😅😅Yani huduma zao, utadhani wanalea kifaranga cha kuku... Kwamba kisinyakuliwe na mwewe 😁😁,
Kama upo tiyar mi sina tabuuNa wana kauli yao "ni wewe tu kama upo tayari utanicheki"
Hatari sanaDela latiwa maji lawa tapatapa ule mstari wa mtaro katika unajichoraaaa usiombe akufinyie kwa ndani.
Hiki ndo kilimponza ndugu yangu akafirisika aise... Alikuwa anatoka Nyanda za juu kusini, then anaenda kula chakula Tanga. Mapema sana umaskini ukamvaa. 😀😀.Dela latiwa maji lawa tapatapa ule mstari wa mtaro katika unajichoraaaa usiombe akufinyie kwa ndani.
Kuna makabila tofauti mkuu, kuna kabila moja hivi, mwanaume unawekwa ndani, unapewa kazi ndogo ndogo kama vile kusaga juice, kukata kachumbali,. But Mwanamke anaenda ku fight mtaani.Uliwezaje kuchomokas? Kweli wanapiga miguubyote? Shida moha tu..uvivu kufanya kazi wao wanasubiri ulete pesa tuu ndanii mmmmm saaa hao wafaa kuwa wake?
Kuna kitu inaitwa baikoko ya mombasa....sio hii uchafu wanacheza huku dar sijui vigodoro uchwara no no no!!!!....balaa la hili baikoko ni linachezwa ufukweni saa 7 za usiku mpaka majogooo halooo kuna madancer maalumu na mduara wa kawaida wamefunga tengee ni balaaa.....baikoko ni dela jepesi lilolotepeta.....Hiki ndo kilimponza ndugu yangu akafirisika aise... Alikuwa anatoka Nyanda za juu kusini, then anaenda kula chakula Tanga. Mapema sana umaskini ukamvaa. 😀😀.
😂😂Kuna makabila tofauti mkuu, kuna kabila moja hivi, mwanaume unawekwa ndani, unapewa kazi ndogo ndogo kama vile kusaga juice, kukata kachumbali,. But Mwanamke anaenda ku fight mtaani.
Kuna makabila tofauti mkuu, kuna kabila moja hivi, mwanaume unawekwa ndani, unapewa kazi ndogo ndogo kama vile kusaga juice, kukata kachumbali,. But Mwanamke anaenda ku fight mtaani.
😂😂Hiki ndo kilimponza ndugu yangu akafirisika aise... Alikuwa anatoka Nyanda za juu kusini, then anaenda kula chakula Tanga. Mapema sana umaskini ukamvaa. 😀😀.
Alikuwa ana haki ya kufilisika afu lingine la kuchunga mwanaume ukilogewa na limbwata la tanga hutokiiii.Hiki ndo kilimponza ndugu yangu akafirisika aise... Alikuwa anatoka Nyanda za juu kusini, then anaenda kula chakula Tanga. Mapema sana umaskini ukamvaa. 😀😀.