Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Alikuwa ana haki ya kufilisika afu lingine la kuchunga mwanaume ukilogewa na limbwata la tanga hutokiiii.

Wanawake wa tanga wana limbwata lakukugeuza zezeta kama mwanaume utakuwa hutoi mahaba ipasavyo na si pesa bali mahaba.
Nasikia dawa zao ni kali sana, hata kama unafamilia unaweza itupupilia mbali kabisa....
 
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale [emoji1666], Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko [emoji120], nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-

|• Ni weupe hata kama atakuwa na rangi nyeusi/majikunde lakini ngozi yake ipo mithiri ya mtu aliyejipaka mafuta ya mnyonyo.

||• Miili yao imekaa umbo la nyigu, kwa mwanaume aliye kamilika hawezi kuishiwa hamu ya kulamba buyu la asali.

|||• Siyo wachoyo, roho zao zimeumbwa kwa ajili ya kuwasaidia wanaume waliopatwa na kiu ya maji, hasa pale wakiwa katika hali ya kijangwa.

|V• Wakitembea barabarani mijusi na baadhi ya wadudu hutingishika huko maporini.

Muda wa kukaa Tanga umeisha, najisikia vibaya sana kuondoka hili jiji. [emoji847][emoji847][emoji847].

View attachment 2911282View attachment 2911284View attachment 2911286View attachment 2911289
1.kwamba weupe...hiiinadhihirisha mtu mweus mwenyew hapend ngoz nyeus..halaf anafosi mzungu au muhind kuipenda ngoz nyesi.[emoji16]

Wanapaka makeup za rang ya uzungu kidogo wawe weupe

Wengne wakijichubua na kuvaa mawigi just kufanana na mywele za kizungu.

Kwel ngoz nyeus tuna laana.
 
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-

|• Ni weupe hata kama atakuwa na rangi nyeusi/majikunde lakini ngozi yake ipo mithiri ya mtu aliyejipaka mafuta ya mnyonyo.

||• Miili yao imekaa umbo la nyigu, kwa mwanaume aliye kamilika hawezi kuishiwa hamu ya kulamba buyu la asali.

|||• Siyo wachoyo, roho zao zimeumbwa kwa ajili ya kuwasaidia wanaume waliopatwa na kiu ya maji, hasa pale wakiwa katika hali ya kijangwa.

|V• Wakitembea barabarani mijusi na baadhi ya wadudu hutingishika huko maporini.

Muda wa kukaa Tanga umeisha, najisikia vibaya sana kuondoka hili jiji. 🤗🤗🤗.

View attachment 2911282View attachment 2911284View attachment 2911286View attachment 2911289
Tanga ni mwisho wa matatizo katika mambo ya mahaba.

Soma visa vyao humu:

Duh nimemkumbuka Najma wangu.Sijui yuko wapi yule binti.

Mapenzi yake ni sukari ,kuogeshwa ilikua kawaida tu.

Mi nilikua kipanga mtoto wa wa watu alikua na asthma.

Sasa akifumania,anaanza kuhema anadondoka,

Nabeba naingiza ndani.

Yale ndo yalikua Mapenzi.

Namtafuta hapatikani popote.
Hilo jina sio geni, alikuwa anaishi wapi?
 
Uliwezaje kuchomokas? Kweli wanapiga miguubyote? Shida moha tu..uvivu kufanya kazi wao wanasubiri ulete pesa tuu ndanii mmmmm saaa hao wafaa kuwa wake?
Sasa unataka mwanamke akupe mautundu yote hayo halafu bado atafute pesa, acheni kuwatwisha wanawake majukumu mengi, chagueni moja mpewe mautundu au msaidiwe kutafuta pesa
 
Back
Top Bottom