Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

Mkuu nimewahi kuwa na mtoto wa kitanga, fatma. Mkuu ni msafi, ananukia, anayajua, mkarimu, sauti sasa, kanajua kudeka hatari. Daah mtoto fatma popote ulipo nakupa maua yako
Hilo la usaf kweli tuwape maua yao,soon nitaenda Tanga nikakutane tena na mtoto Zay,mtoto namchezea mpaka kinyeo lkn sijawahi kuhisi harufu nnyaaa[emoji2][emoji2]
 
• 😀😀, Mkuu alafu nimeona kundi kubwa sana la warembo wa kitanga, wanazamia huko Dubai..

• Tanga ni uhakika , maji mara moja, final ni watoto wazuri sana..
Ni kweli mkuu nilipataga demu mmoja wa kitanga kupitia fesibuku sahivi yuko zake huko Gulf wanapenda sana nchi za kiarabu

Mi niko tayari nilogwe tu na mtoto wa kitanga
 
Ni kweli mkuu nilipataga demu mmoja wa kitanga kupitia fesibuku sahivi yuko zake huko Gulf wanapenda sana nchi za kiarabu

Mi niko tayari nilogwe tu na mtoto wa kitanga
Ukilogwa na wale mademu, Huwezi ukaendelea mkuu, hela huwa hawabakizi, kama ni salary yeye anakuwa mtunza hela.
 
Mwanamke bora asubiri nilete pesa tu kuliko kujifanya manka afuu show mbovu......tanga nakumbuka kuamka saa 4 na kuingia ndani mapema kabla halijazama, weekend tanga yaaanza alhamisi.....sikukuu ya idd ya tanga yaliwa week 2 [emoji28][emoji28][emoji28]

Ukijifanya unawai wai nguo zalowekwa maji unashindia taulo au msuli [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona umeiga Hadi ongea yao. Alafu unajiita mwanaume[emoji23][emoji23]
 
Walikua na mishe gan huko hao malaya mkuu
Hahahah, Mercy ni muajiriwa wa taasisi moja inaitwa BRAC,alikuja Tanga 2018 enzi hizo kamaliza chuo,alikua hana jina akaanza kudate na msela Mwalimu wa shule. Baadae akapata jina akaanza kula masafa.

Mdogo wake alikua bado chuo ila Dada yake ndio akazidi kua famous na kula ruti za vichwa.

Ikatokea skendo ya kufumaniwa kwa Mercy (Mambise) na kupigwa mtungo mixer kisamvu na wahuni wa mwenye mme ( mudi utaua)

Akahama Wilaya ila alikua tayari famous Dar na mikoa mingine hapo anakaa Tanga, weekend anaenda kwa vibopa. Hatimae akahama na mkoa.

Infact mtu poa sana mkielewana ila mmeru yule hela mbele,mzungu wa roho haswaa,no wonder yeye na mdogo wake wanajitahidi kwenye biashara,ni watafutaji haswaa, waweza sema wadangaji ila Wana akili na huenda miaka kadhaa mbele watakua na kipato kizuri sana Mungu akiwazidishia barka..

Ukitaka namba njoo inbox
 
Back
Top Bottom