shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 535
- 1,115
Kivipi?? Nilimwambia muandika uzi ameandika kishamba Sana, hajafafanua ni vilevi gani, kivipi wanafanya kutumia pampasi?? Kwa ufupi ameandika Kama anakimbizwa.Acha kutumia pampers na pads kujiingizia pombe kwenye upuru wako. Utapata kansa dogo. 😀😃😄😁
Sasa nawe umekuja unajibu vumbi, shida ni Nini?? Au mi ndo sikuelewa alichoandika mleta uzi??