Kivipi?? Nilimwambia muandika uzi ameandika kishamba Sana, hajafafanua ni vilevi gani, kivipi wanafanya kutumia pampasi?? Kwa ufupi ameandika Kama anakimbizwa.
Sasa nawe umekuja unajibu vumbi, shida ni Nini?? Au mi ndo sikuelewa alichoandika mleta uzi??