Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Kama sheria ya mirathi inampangia mtu hadi watu wa kuweka kwenye mgawanyo then sioni hata mantiki ya kuandika wosia.
Hako kadem mi nakashangaa sana ujue alafu kalivyo na akili za kimasikini kanasema eti wakina Regina na Abdiel watafute vyao kuanzia chini 😡 sasa watu waliozaliwa familia za.kimasikini baba zao hawana kitu waanze kutafuta vyao kuanzia sufuria hadi mwiko na hawa baba zao wenye mabilioni ya dollars watafute chini hiyo ni akili?Mimi nahisi una mchepuko, mbona umekua senstive na hii topic??? WEWE PONDA RAHA NA MCHEPUKO WAKO ila jua ukifa mali zote ni za watoto wa bi mkubwa!😂😏
When the bitch ass fool go off rail, ku'panic kwenye vitu vya kijinga kama mijadala ya kwenye mitandao ya kijamii ni upumbavu uliokithiri.STFU bitch
You're body is functioning with zero brainWhen the bitch ass fool go off rail, ku'panic kwenye vitu vya kijinga kama mijadala ya kwenye mitandao ya kijamii ni upumbavu uliokithiri.
Labda ana hisa IPPWhen the bitch ass fool go off rail, ku'panic kwenye vitu vya kijinga kama mijadala ya kwenye mitandao ya kijamii ni upumbavu uliokithiri.
🚀🚀🚀makombora(missile)kutoka kishumundu mpaka dar😂😂😂Ndoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchaga hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
Waafrika tumejaa funza kichwaniYaani mpaka aibu, uswahili wa kipumbavu kabisa kugombania kitu ambacho mwenye nacho hakutaka kuwaachia.
Ndiyo tatizo la mitoto kuacha kutafuta vya kwao au kuanzisha shughuli zao ili zile za kuzikuta ziwe kama ziada, wanajiaibisha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaaa acha wapambanie mali ya baba ao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]EATV, East Africa radio alianzisha marehemu MUTIE Mengi, alipofariki Regina ndo kaisimamia mpaka sasa, kwa hiyo Regina ana nguvu zake humo kwenye mali, i stand with Regina na Abdiel Mengi([emoji23][emoji23][emoji23] kwanza Abdiel hajaoa siwezi jua labda atanioa mie [emoji14][emoji14][emoji14])
Kumbee ndio ulikofikia huko
Ipi hiyo heheheNjoo na main id basi
Ipi hiyo hehehe