Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Nilidhani una akili kumbe mshenzi tu.You're very stupid,
Ngono haijawahi kutumika kama kigezo cha mtu kurithi mali nenda mahakamani na kigezo kama hiki cha kipumbavu ushuhudie.eti mwanamke from nowhere. Hiyo sex aliyokuwa akipewa marehemu na K'lyn hao watoto wangeweza kumpa,
Sifikirii kama uko sawa kichwani, faraja kitu gani unafikiri faraja ya watoto wake inaweza kuwa sawa na ya hicho kimwanamke?hivi unajua faraja tupewayo na wenza wetu between the four walls?
Maswali ya kipuuzi sana haya, ushasema watoto (tena wakwake mwenyewe) watawezaje kumzalia sasa.hao mapacha aliomzalia hao watoto wangeweza kumzalia.
.
Unafikiri kuzaa mapacha ni jambo la ajabu?
Hivi vyote unavyoviona alikuwa navyo Mengi vimetoka kwa msaada mkubwa sana mwa mama yao Regina na akavisimamia hadi leo mnaviona hapo.Kama ni hivyo ubaguzi wako wa kipumbavu wa mwanamke from nowhere hata mke wake wa kwanza(marehemu) naye alikuwa mwanamke from nowhere na akaolewa akawazaa hao watoto hao
.
Havikutoka kwa Jaq mchumia tumbo yule kavikuta viko pale tayari.
Waswahili tunasema usione vyaelea vimeundwa!
Nakataa tena narudia NAKATAA na wewe kama unamzidi umri Regina au Abdiel na umewashuhudia wakiwa makinda basi wewe utakuwa over 58 chini ya hapo hujaona lolote.wanaokufanya unalialia kisa tu hawajaachiwa kitu kwenye will ya marehemu Mengi. Narudia tena hao ni watoto wa juzi coz I saw them back then wakiwa bado makinda
Sasa asifiwe nani kama sio aliyekuwa mwenye wazo na aliyeweka misingi?na huwezi kumsifia mtu kuanzisha EATV wakati hakuutafuta huo mtaji wa kuianzisha,
.
Wewe na kuwa kwako ulaya sijui ya kwamfuga mbwa umeanzisha nini kinachofahamika donations tu za JF huziwezi shubahamit.
Wanaotafuta kuanzia chini ni watoto wa masikini tu, yani hapa ndo nimeanza sasa kufunguka akili wewe hauko Ulaya na kama uko Ulaya ni Ulaya mashariki kwa makapuku.tafuta mtaji wako from the scratches ndiyo ujisifu umeanzisha kitu.
.
Mo Dewji kaendeleza alichokikuta wale kina Kassim Dewji wanafanya tu muendelezo wa mali za mzee Gulam.
.
Watoto wa bakhresa unafikiri watatafuta vyao kuanzia chini?
Wanaendeleza vya baba yao na vya wengine wale jamaa wana hisa CRDB.
Sisi ni wabwatukaji tu humu haya yanaishia humuhumuNa mkishindwa kesi sijui itakuwaje manake mali za marehemu mmezishupalia na kuzitolea macho
Utamu hat malaya wa Tandale wanao, hizo mali ni za watoto wake sio mnyarwanda yule.na kawashangaza kwa kuukumbuka utamu wake na nyie kawatupilia mbali, tafuteni vya kwenu.
Wachaga huwajui wewe nadhani, familia ya kina Jaq ya kikapuku imedumaaga akili hadi nywele hapo imetolea macho mali zilizotafutwa kwa jasho na damu pumbavu zenu.Bora huyo miss Tanzania wa zamani anapigania alichoachiwa kimaandishi na marehemu mume wake lakini sio nyie mnaopigani kile marehemu alichoona hapaswi kuwapa.
.
Alafu wewe ni Mwanamke nimegundua.
Your hubby certainly did not marry you for your brains.