Magari ya kukodisha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 412
- 695
Hehehehehe njoo PM mtoto mzuriUnaijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehehe njoo PM mtoto mzuriUnaijua
Umemsahau Zitto. DuuuuK Lyn wazee wa kasulu,Kibondo na Manyovu wako nyuma yako! Usiogope.
Ulinzi jnao madhubuti..
Jack anadanganywa sana na yule dadake, hata ningekuwa mimi nisingekubali, ningeenda hadi mwisho wa dunia ili mali zirudi2015-2019 you want to take it all! sio rahisi kihivyo!
Jack anadanganywa sana na yule dadake, hata ningekuwa mimi nisingekubali, ningeenda hadi mwisho wa dunia ili mali zirudi
Hehehehehe njoo PM mtoto mzuri
Wewe mchaga?Huyu K ni wa kumla shaba tu
Kumbe yuko serious kutaka kuolewa na yule muarabu.........Jack anadanganywa na dada yake na pia anatumia nguvu nyingi sana kushindana na sisi watu wa mitandao, she wants to prove us Wrong including wakina Mange Kimambi kwamba wamemsema sana na mwisho wa siku amekua bossy lady hizo ndio Ndio Ndoto zake ( kushindana na tunaomsema) 😂😂😂😂😂
Kingine kinachomfanya atumie nguvu nyingi kutapeli mali za watu , ni kuendelea maintaining the same status ya kitajiri Aliyokua nayo akiwa na mzee na anataka marafiki zake lile kundi Lao waendelee , kumuabudu , anataka kufunga ndoa na Hussein waishi kitajiri ndio maana amepagawa anatafuta hela kwa nguvu nyingi mno bila kutumia akili ili abaki juu kileleni, Hisitoshe Elimu hana ni form four tu Yule
Anajidanganya nasubili atakavyoangukia pua na ujambazi wake wa kishamba
Wale wakigoma unafikiri in wepesi wepesi.Kamuulize mdhihiri vs zito.Wachaga wachawi lakini Kigoma funga kazi,akishindwa anavuka Burundi pale habari inaisha.Wasitbubutu kuingia kwenye ushirikina hiyo vita hawataiweza Bora warudi mezani kiutu.Ndoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchaga hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
Kama alikuwa anamnyonya mdudu wakati first wife anaona kinyaa unatarajia nini? Honga kila kitu.Unahonga mpaka roho.Ndoa 2015 hadi 2019 kimasihara tu klyn arithi mabilioni, Huu utani huu, atapigwa vita sana,Mali ya mchaga hairithiki kirahisi hivi, Ndugu na watoto wakubwa wa mengi wanaandaa makombora mazito sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfekane war inanukia hapa
Wale wakigoma unafikiri in wepesi wepesi.Kamuulize mdhihiri vs zito.Wachaga wachawi lakini Kigoma funga kazi,akishindwa anavuka Burundi pale habari inaisha.Wasitbubutu kuingia kwenye ushirikina hiyo vita hawataiweza Bora warudi mezani kiutu.
Hivi huyo anasema mengi aliandika akiwa amechanganyikiwa je yeye ni daktari? Je tumewahi sikia mengi kawa chizi.Hao watoto Kama waliungana na mama yao kumuhujumu mengi awarithishe tu mali.Kama baba yao hakuwa radhi nao hawatafika popote kama alikuwa amechanganyikuwa basi watashinda.
Watoto wa test tube wana nguvu sana kwa sababu hawajazaliwa kama binadamu wa kawaida.SIO FAIR HATA KIDOGOOO YAAANI WATOTO WA MKE WA KWANZA WANAWEKWA KANDOOOO?????
sisi yetu masikioMhhhh mimi yangu macho
Sawa wakili wa KylnnSitaki kuamini kama mtu aliyechanganyikiwa anaweza kuandika wosia wa namna ile (yaani ukisoma wosia wote, neno kwa neno utagundua kwa 100% wosia ule uliandikwa na mtu mwenye akili timamu, msomi haswaa huku akiongozwa na jopo la wanasheria na washauri wa mambo ya kifedha).
Ni hoja dhaifu sana kusema Mengi aliandika wosia ule akiwa amechanganyikiwa, kwa sababu
-Nani anaweza kuthibitisha hilo?
-Wakati wote huo Mengi alikuwa akishirishi hadharani matokeo muhimu ya kijamii huku akionekana akiwa timamu. Huko kuchanganyikiwa kunakujaje?
-Ni miaka 2 imepita toka wosia uandikwe na Mengi na hakuna kitu alibadilisha kwenye wosia wake, sasa miaka yote miwili alikuwa amechanganyikiwa?