Watoto wa Mjini Dar

KAZI IPO!!!!!!! rijamaa rina hasira kwerikweri
 
Prove acha kufikilia wanavyofikilia wengine (whatever that means). Utatoaje fact ble proof, achana na guess work na mabo ya kufuata mkumbo. Utajikuta chooni siku moja.

Kama sio fact then futa kauli yako ful stop!

Sionona sasa wote mna sentimental problem ............tutawatofautishaje!?
And is the fact!

Unaita guess work sisi tunaita proof by induction.

So what you stand depends on where you sit,and how you define !
 
Kama huna cha kuandika kalale, na hiyo nayo utaaita hoja. Toka lini ukawa mtaalam wa kusoma sentiments humu. Naomba nithibitishie kuwa nina hayo majina mawili. Vinginevyo tuchukue hatua zaidi. It is disgusting now! Wewe ulishawahi nisikia nikamshuku fulani ndio fulani hapa? au nilishawahi kukushuku kuwa wewe ni fulani? Umeregister hapa kuchagia hoja au kuchunguza who is who? Stop it!
 
mkulu,

dar haiwezi kuwa dar kama hujala pilau (chakula,sio ile nyingine) ya butiama restaulant,
toka miaka ya 70 pilau inatest ile ile .

..wazee lile pilau la butiama liacheni vile vile...yaani pale kinachonifurahisha haata ukienda asubuhi saa 12 ..pila limeshaiva na ni la moto ....hadi saa sita usiku..lipo..pilau kwa maziwa ya mgando!!!...pilanu ngombe au mbuzi!!!

...nani hapa kala biriani la pale kitumbini.....biriani kwa kondoo..

..halafu nani hapa alishakula kwenye shughuli ...pilau mbuzi ...ya jamaa wa pale bungoni ilala ...wale unawakodisha wanakuletea .....

...pia kulikuwa na wapishi wengine maarufu wa pilau kariakoo kama kweenye mgahawa wa alwatan ..almarhum..amiri ali bamshawi....
 
Bila kumsahau Ali Mapilau wa pale Msikiti wa Tambaza.
 
Sionona sasa wote mna sentimental problem ............tutawatofautishaje!?
And is the fact!

Unaita guess work sisi tunaita proof by induction.

So what you stand depends on where you sit,and how you define !

Mama kasema yeye sio Mwafrika. Umetoa maelezo yako ya kwanini na amesema sio yeye,

Sasa kama hakuna proof zaidi ya yanayozungumza, then its best ku-drop this.

Anything more, is harassment.
 
You need a proof ,i did " proof by induction "

Unauliza toka lini nikawa mtaalam wa kusoma "sentiments" jibu lake ni kuwa mtu yeyote mwenye akili akili timamu tu unaweza kufanya hivyo.
Since by definition sentiment is a thought, view, or attitude, especially one based mainly on emotion instead of reason.

And you proved to be so.

Unauliza nime register kuchangia hoja au kujua nani ni nani,jibu kuchangia hoja na moja ya hiyo michango yangu ni hii naichangia ambayo sio mimi nimeleta ila nilikuwa nachangia alichosema mjumbe mwingine.

"Vinginevyo mchukue hatua zaidi "umesema !Ipi ? kwa lipi? kweli ww na huyo judge mtakuwa sio.
 
Mama kasema yeye sio Mwafrika. Umetoa maelezo yako ya kwanini na amesema sio yeye,

Sasa kama hakuna proof zaidi ya yanayozungumza, then its best ku-drop this.

Anything more, is harrassment.

Na mimi nasema reality never change,kama sio yeye sio na kama ndiyo ndiyo.

I'm not make a big deal about this wala mimi hainisumbui .
 
kwa taatifa yako kama akili yako timamu inakwambia mimi ndio huyo unayemfikiria, basi sio timamu kwa vile unafikiri ndivyo sinyo. By the way pole sana.
 
Na mimi nasema reality never change,kama sio yeye sio na kama ndiyo ndiyo.

I'm not make a big deal about this wala mimi hainisumbui .

Haikusumbui ? Sasa kwa nini unamsumbua Mama?

Uache kumsumbua kwa kung'ang'ana Mama equals Mwafrika wa Kike.

Reality is just reality. Reality ya kuwa Mama is sentimental, Mama is this and that, does not prove yeye ni MwK. Last I checked, every human being is sentimental!

In this manner, it's only a reality if you can prove your claims, so far, you have failed to do so.

Until you do, stop with the harassment!
 
..halafu nani hapa alishakula kwenye shughuli ...pilau mbuzi ...ya jamaa wa pale bungoni ilala ...wale unawakodisha wanakuletea .....

Ohoooo umenikumbusha mkulu......palepale ukishuka kituoni tu Ilala Bungoni kabla hujafika buguruni kwa malapa wana picha yao ya mbuzi yuko jikoni...hivi bado ipo ile au ndo maduka ya spea yameshakwapua sehemu ile??
 
For your information,hata CHE GUEVARA alivyozuru tanzania on his way to the congo,back in them years,hapo kitumbini alilivinjara hilo biriani na kondoo
 
Na mimi nasema reality never change,kama sio yeye sio na kama ndiyo ndiyo.

I'm not make a big deal about this wala mimi hainisumbui .

Somebody needs an english course to begin with....

I am not make?!!!!???//
 
Hapa ni zaidi ya kudata.... sidhani kama inahitaji jibu hii
 
Sionona sasa wote mna sentimental problem ............tutawatofautishaje!?
And is the fact!

Unaita guess work sisi tunaita proof by induction.

So what you stand depends on where you sit,and how you define !

Jamani lugha ya wenyewe kama huiwezi unaruhusiwa kutumia kiswahili.... mweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…