Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
- Thread starter
- #141
Ulichofanya hapa ni kuongea na sasa hii ni AIBU
Unajipa standard ya juu sana na hao wenzako ambao hamuongei na waliosoma kwa Ndosi na kisha unakesha hapa JF kuongea na waliosoma kwa Ndosi.
Kama hutaki kuongea na waliosoma kwa Ndosi (BTW mimi si mmoja wao) basi ungekuwa na blog yako ya "watu wa mjini" na "wasiongea na waliosoma kwa Ndosi" kama mwenzako alivyoanzisha ya kwake akiita taifaletu wakati akiishia kufanya plagiarism.
Majigambo ya bure...... unajiweka standard ya juu ukidharau wenzako na kusifia kuishi Dar kabla na muda mfupi baada ya uhuru as if that's the only qualification ya kuwa mtoto wa mjini.
Labda thread hii mngeiita ya wazee wa mjini Dar au ya watoto wa mjini Dar waliozaliwa kabla na muda mfupi baada ya uhuru wa Tanganyika.
yale yaleee