Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

kuna dingi mmoja alikuwa tajiri sana home kwake utapata trecta 2 ,costa 4 ,compresor za migodini zipo 3, mjengo anao mkali ,anafuga samaki anamabwawa ya samaki na kambare hapo hapo home kwake watoto wakija kumuona wanatembelea magari makali... kimbembe kilivyokuja ni pale police walipokuja kukamata meno ya tembo kwake... hapo ndo nlijua haya maisha ni hatari...
 
Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za watu na wadada, bei hata hawabargain unamkuta kwenye foleni anaenda job anadrive..chini kaeka vibrator anacheza nayo hadi anakojo.

Mchizi wa Pili anakaa Sinza kajaa mbaya gym muda wote ila jamaa hela ya kula haimpigi chenga na bia mbili tatu na misele kwenye vitz yake tumepiga mtungi akaniambia mwanangu mi huwa naitwa kwenye massage karibu zote za Sinza wamama wakitaka massage au kuliwa au threesome napigiwa simu fasta tukibargain naingia mzigoni.

Master Mwingine mjanja kabisa wa Mjini yeye mishe zake yeye anatafuta matajiri anawaonyesha milango na furniture kali sana then anavuta advance anenda mwenge pale analamba mafundi anaingia site cha juu chake yeye sio fundi wala hajui lolote.

Mchizi wangu mwingine anatengeneza dawa za mchwa na kuuza na ana mzigo wa kutosha, nyumba na ndinga.

Mwingine ananunua mabati ya kawaida anafuta nembo yake halafu anapiga muhuri mwingine wa kampuni maarufu maisha yanaenda.

Mwingine ana washkaji maaskari wakienda kukamata magendo bagamoyo na yeye anaenda nao wanagawana noti kama na yeye ni askari.

Mwingine dah tuishie hapo ila hawa wote ni washkaji, tunakula nao monde, wanavaa safi wa mjini kabisa ila huezi jua anafanya nini mpaka mshibane.

Somo ni kwamba unaeza fanya kazi yoyote na bado ukaishi lifestyle unayotaka tupambane sana na usimuige mtu matumizi hujui kazi zake.

Updates:
1.Pia zamani kidogo kuna dawa flani za malaria zilikua zinauzwa kwa wacongo vibaya mno kule Kariakoo. Nafkiri ni SP zinaenda tengenezea Carolite..

2.Kuna washkaji wawili nawajua mmoja anafanya kazi kabisa na mwingine brazamen sana hapa sinza hawa jamaa wanaishi na wanawake wakali sana na hawa mademu wamezaa nao..sasa cha ww kushangaa ni kwamba hawa madem wanajiuza kabisa ile style ya ma mido...yani unacheki na mido..then wanaenda liwa ...jamaa wanajua...na some part ya maisha yao...wanavuta hela kwa hao ma wife wao...na washkaji woote tunajua na hatuongei...
Nataka nifuatilie hii ya ma mido inakuwa kuwaje, au ni maving'asti?

Na hii ya mwanaume kukodishwa kwenda kupiga show la 3some, nalo ungeliongezea nyama kidogo kuelezea namna inavyokuwa.

Maelezo hayo ukiyaweka sawa, utakuwa umenitengenezea siku yangu.
 
Acha kua boya! Yan unataka kupewa chakula na kutafuniwa ?
emoji706.png
Mkuu umeingilia jambo lisilokuhusu.

Ungelimuacha mtoa mada anishikie tochi.

Nina uhakika wewe nikikuuliza niliyotaka ufafanuzi wake, pia utakuwa hujui lolote kuhusu.

Ukikiweka hapa unachodai kukijua wewe juu ya hayo niliyouliza, mtoa mada aweza kukusahihisha na kukwambia siyo.
Waulila?
 
Mkuu umeingilia jambo lisilokuhusu.

Ungelimuacha mtoa mada anishikie tochi.

Nina uhakika wewe nikikuuliza niliyotaka ufafanuzi wake, pia utakuwa hujui lolote kuhusu.

Ukikiweka hapa unachodai kukijua wewe juu ya hayo niliyouliza, mtoa mada aweza kukusahihisha na kukwambia siyo.
Waulila?
Mkuu siwezi kufanya detailing nitaweka watu uchi...do your own homework bro...utanishkuru baadae halafu mbona kama unataka kuingia kwenye hilo chama?
 
Mkuu siwezi kufanya detailing nitaweka watu uchi...do your own homework bro...utanishkuru baadae halafu mbona kama unataka kuingia kwenye hilo chama?
Hapana sina wazo hilo, isipokuwa simulizi zenu saa zingine zinakuwa kama riwaya zinatufurahisha kuzisoma.

Kwa maswali niliyokuuliza na kusema waweza kuwaacha watu 'uchi' si kweli kwa sababu kwa mfano, nilipenda kumjua 'mido', hilo neno nadhani ni cheo cha mhusika, sasa kutaja namna cheo kinavyokuwa ama kinavyofanyakazi, hauwezi kubumburua anonymity ya mtu.

Hilo swali la kwanza, na swali la pili ni kuhusu huyo jamaa smart namna anavyokodishwa kwenda kurukishwa kichura cha mchezo wa watatu, ndiyo nikapenda kujua mchezo wa watatu kwa wanawake wawili mwanaume mmoja au wanaume wawili kwa mwanamke mmoja?

Sasa nalo hili ukilinyoosha waweza kudhalilisha haiba ya mtu?

Kuuliza dodoso zote hizo ni ile mtu kutaka kuunganisha dots ili simulizi lako likidhi na siyo muulizaji kutaka kuwafahamu watu hao ili kuyafanya mambo hayo, hapana, yaya ghuke!
 
Wenye akili na pesa halali ni huyo wa dawa za nchwa na muuza milango Wengineo.... Anything can happen
Hata yule mwingine anayenunua mabati kisha anafuta brand na kupiga muhuri wa brand nyingine pia akishikwa kesi yake ni nzito sana tena ataitwa ni muhujumu uchumi
 
Hapo hapo...na ukipewa mpango uufanye straight..kuna watu hapa mjini wana baiskeli kama hamsini anachukua vijana huko vijijini anawalipa kwa mwezi..ndio wale vijana wanauza sumu ya panya na mapunye
Hivi wale wanaouza sumu za panya kumbe mitaji huwa sio yao?duh hii dunia ina mengi
 
Mkuu Kvant iache wenzio walishatangulia mbele ya haki unamjua lema ww? Uje inbox tukueleweshe..roho yako na mwili wako visikosane vikapeana talaka
Kvant kweli asiguse mwenyewe ni mjanja sana na halali saa zote yuko macho na anajua michezo yote
 
kuna dingi mmoja alikuwa tajiri sana home kwake utapata trecta 2 ,costa 4 ,compresor za migodini zipo 3, mjengo anao mkali ,anafuga samaki anamabwawa ya samaki na kambare hapo hapo home kwake watoto wakija kumuona wanatembelea magari makali... kimbembe kilivyokuja ni pale police walipokuja kukamata meno ya tembo kwake... hapo ndo nlijua haya maisha ni hatari...
Sasa hapo mtu asiyejua utasikia anawaambia wenzake biashara ya samaki inalipa sana,kuna mzee mmoja mimi namfahamu ana jumba kali,magari kadhaa na mitambo kwa ajili ya kuuza samaki kumbe watu wana siri zao
 
Hata yule mwingine anayenunua mabati kisha anafuta brand na kupiga muhuri wa brand nyingine pia akishikwa kesi yake ni nzito sana tena ataitwa ni muhujumu uchumi
Nadhani anapoteza muda mfano Araf wanatoa bati zisizo na nembo yao. Huna haja ufute unabandika yako
Pili bata za nembo ni zamani. Sikuhizi kampuni chache wanaweka nembo bati zao.
3 kuweka nembo ni utashi wako hakuna kesi hapo. Labda utengeneze bati zinazofanania then usiwe na vibari vya uendeshaji kiwanda.
Acheni stry za kusadkika
 
Back
Top Bottom