Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

Siasa ndio nini sasa, Kwao siasa hayakuwa mafanikio, hiyo hatua aliyokuwa amefikia Dr Mwele ni Mwanasisa gani atanusa hapo.
 
Hata kama ungekuwa mpiga kura wewe ungempigia Lemutuz awe mbunge wako ???

By the way mzee Malecela mwenyewe alikuwa na kipi cha ziada kwenye siasa zaidi ya kuwa chawa tu ???

Anyway nani yuko tayari kuongozwa na Mgogo tu ???[emoji2]
 
Wazee hawa walioishi kwenye nadharia za ujamaa kindakindaki , hawakuwekeza zaidi kwenye elimu na urithi wa watoto wao. Mifano ni mingi hata Mwl hakuwekeza huko zaidi ya ikulu kuwabeba.

Rip. Mwele, nakumbuka kisa chake na marehemu Maghufuli
Hata mzee Ngombale Mwiru vijana wake hawapo kwenye siasa za ccm.
 
Warioba? Msuya? Salim? Mkapa? vipi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…