Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tutarejeshwa kwenye uchifuWatoto wa Mwinyi wametamalaki kwenye uongozi wa taifa hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutarejeshwa kwenye uchifuWatoto wa Mwinyi wametamalaki kwenye uongozi wa taifa hili
Inabidi wamfutie kesi, sema Samia hajui Mambo mengi SanaFreeman Mbowe ni mtoto wa kiroho wa Mwalimu Nyerere!
Ni sawa Boss wangu. Lakini umekutana nao ukaona wangapi wanajua hata maana ya Katibu Mkuu au hujawahi wapelekea tatizo. Mimi nina ushahidi wa kimaandishi hapa kwa baadhi ya majibu yao waliyonipa nilipowapelekea tatizo. Wanaudhi halafu wanadhani wanajua! Kuna tofauti kubwa sana kati ya shule na utendaji ingawa ni kweli kuna wachache wamefaulu yote mawili; hao nao nawafahamu lakinihao wachache hawatangulizi vyeti kwenye utendaji na pia wako tayari kuelezwa yale ambayo hawayajui!Yaani kwa bongo makatibu wakuu waliotokea vyuoni ni wengi sana,ninaowajua mimi,francis michael-udsm,prof eliamani sedoyeka-TIA,jimmy jonas -IFM,emmanuel ole gabriel -IFM,kuna yule akitoka udsm akaenda nssf nae sasa ni katibu mkuu sonebody kahrayra sijui
Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.
Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.
Ipyana RIP naye hakufika mbali.
Mwele tena mshumaa umezimika
Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000 alimgaragaza mzee Keenja rip kwenye kura za maoni pale Ubungo sema tu Mkapa akaingilia kati Keenja akatimba bungeni
Ukifika bungeni utawakuta akina Jr kibao, kwa mfano Kawawa Jr, Nnauye Jr, Kikwete Jr, Mwinyi Jr, Makamba Jr, Lowassa Jr, Ditopile Jr nk...nk. amekosekana Le mutuz na Kinje tu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jumaa kareem.
Alizaa na nani
Dada muungano,kaka ZanzibarWatoto wa Mwinyi wametamalaki kwenye uongozi wa taifa hili
Siku Watanzania tukiamka wataondoka wooote....haiwezekani wao tu ndio wanufaike na keki hii ya Taifa..Watoto wa Mwinyi wametamalaki kwenye uongozi wa taifa hili
Le Mutuz mbona alipanda sana hadi kuwa mshika begi wa Makonda !Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge.
Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli.
Ipyana RIP naye hakufika mbali.
Mwele tena mshumaa umezimika
Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000 alimgaragaza mzee Keenja rip kwenye kura za maoni pale Ubungo sema tu Mkapa akaingilia kati Keenja akatimba bungeni
Ukifika bungeni utawakuta akina Jr kibao, kwa mfano Kawawa Jr, Nnauye Jr, Kikwete Jr, Mwinyi Jr, Makamba Jr, Lowassa Jr, Ditopile Jr nk...nk. amekosekana Le mutuz na Kinje tu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Jumaa kareem.
Ngoja leo huenda nikaelewesha vizuri.Kuna siku Hawa vilaza ma juniour ndiyo watakua wanaendesha nchi.
Mmoja wao akishika hata u PM tu, tumeumia.
Kati ya Hawa vilaza nitajie mmoja aliyepata division one fomfoo.
Makamba alifutiwa matokeo ya fomfoo kwa kilichohisiwa udanganyifu japo the guy is bright.
Halafu Hawa vilaza wakija kuwatumbukiza watoto wao kwenye system ndio mtajua hamjui.
😳Ina maana mbowe ni mtoto wa Nyerere🤣☘️
😁Le Mutuz mbona alipanda sana hadi kuwa mshika begi wa Makonda !
Hivi wangapi wako kwenye system? Mimi nafahamu Hussein na abdullahKizazi cha akina Mwinyi wao ni kujazana ndani ya system
Davis MoshaMkuu Hivi bilionea mosha ni yupi/nani?
Nico Mkapa anaishi hapa Mbezi Beach.Mmoja ni katibu mkuu wa wizara
Wapo watatu jumlaMtoto yupi? Mbali ya yule wa bazil ni yupi?
DuhKawawa Jr, Nnauye Jr, Kikwete Jr, Mwinyi Jr, Makamba Jr, Lowassa Jr, Ditopile Jr nk...nk…….,vilaza hawa.
Tatizo ni kiburi chao tu cha kujiona wasomi,kujifanya wanajua kila kitu lakini kazi yao sio ngumu kivile,degree moja tu kwa any field inatosha,kumbuka mwandosya na mohamed bilal pia walitoka udsm kuwa makatibu wakuu wazuri tuNi sawa Boss wangu. Lakini umekutana nao ukaona wangapi wanajua hata maana ya Katibu Mkuu au hujawahi wapelekea tatizo. Mimi nina ushahidi wa kimaandishi hapa kwa baadhi ya majibu yao waliyonipa nilipowapelekea tatizo. Wanaudhi halafu wanadhani wanajua! Kuna tofauti kubwa sana kati ya shule na utendaji ingawa ni kweli kuna wachache wamefaulu yote mawili; hao nao nawafahamu lakinihao wachache hawatangulizi vyeti kwenye utendaji na pia wako tayari kuelezwa yale ambayo hawayajui!
Majina mazuri lakini kama wangefikia hata nusu ya umahiri na utendaji wa Katibu Mkuu Timothy Apiyo hungehitaji kuwaibua hivyo ungesikia Ukatibu Mkuu wao unaelezwa ulivyotukuka kama unavyowasikia baadhi ya Majaji waliopita sifa zao. Makatibu wakuu nguli wengine ni akina Shelukindo, Benard Mulokozi na Rutabanzibwa aliyekuwa Wizara ya Ardhi!Tatizo ni kiburi chao tu cha kujiona wasomi,kujifanya wanajua kila kitu lakini kazi yao sio ngumu kivile,degree moja tu kwa any field inatosha,kumbuka mwandosya na mohamed bilal pia walitoka udsm kuwa makatibu wakuu wazuri tu
Huyo bibi hana mtoto aisee, labda wa kuwalea.Umemsahau " wapigwe tu jr'
Hivi Makinda Hana kinda linalofaa kuteuliwa hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa?