Watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi mali zilizopatikana ndàni ya ndoa

Watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi mali zilizopatikana ndàni ya ndoa

Ila kwa Mungu wote ni uumbaji wake bila kubagua mambo ya ndoa ndoano
 
Makaratasi ya mkuu wa mkoa sijui serikali ya wilaya yaliyopitia kwa shekhe/Padri hayawezi nizidi akili. Mitoto yangu yote itapata kitu kutoka kwangu.

Awe nje ya ndoa, ndani ya ndoa, katikati au kusini sijui mashariki ya ndoa. Watoto wote ni sawa kwangu.
 
Mahakama ya rufaa mwezi huu imesema ruksa kurithi mtoto wa nnje ya ndoa ,ijapo tu alitambulishwa na baba au alimtambua kama mtoto wake na kumtambulisha kwa ndugu kadhaa anaowaamini au kwenye familia yake
 
Sasa itakuwaje ikiwa mtoto huyo huyo katambuliwa na baba wawili, yaani baba mlezi na baba mzazi, inamaana atarithi kote kote!?
 
Ni moja ya changamoto za ndoa za kikristo,

Mwizi anaweza kutokea siku ya msiba akambambikizia marehemu mtoto ili apate mali kirahisi.

Mtoto wa nje kupata urithi yafaa awe ametambulishwa na marehemu au apewe mali na baba yake akiwa hai, nje ya hapo ni upigaji.
Ukristo wa wapi huo unaouongelea mkuu?
 
Uislam upo wazi kwenye hilo, mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama, anaweza kumrithi mamake, lakini hana baba wa kumrithi, wala mama hana pesa za matumizi ya huyo mtotoi kwa huyo anayesema babake. Wala mama huyo hana urithi wowote.

Isipokuwa, baba akiwa hai na anaamini nimwanae tunamshauri kibinadam, siyo kisharia, ampe mali kama zawadi, siyo kurithi. Kumpa akiwa hai, kwani akifa hata kama kampa hapewi zaidi yua moja kwa tatu ya alichopewa kwenye wosia, tena wosia asiandike kuwa mwanae, amzawadie tu kama mtu yeyote yule.
 
Uislam upo wazi kwenye hilo, mtotpo wa nje ya ndoa ni mtotpo wa mama, anaweza kumrithi mamake, lakini hana baba wa kumrithi.

Isipokuwa, baba akiwa hai na anaamini nimwanae tunamshauri kibinadam, siyo kisharia, ampe mali kama zawadi, siyo kurithi. Kumpa akiwa hai, kwani akifa hata kama kampa hapewi zaidi yua moja kwa tatu ya alichopewa kwenye wosia, tena wosia asiandike kuwa mwanae, amzawadie tu kama mtu yeyote yule.
Mgogoro wa Mirathi unapofikishwa Mahakamani, basi Mgogoro huo utatatuliwa kwa mujibu wa Sheria za nchi husika siyo kwa mujibu wa Maandiko yaliyopo kwenye Quran au Biblia.
 
Ni moja ya changamoto za ndoa za kikristo,

Mwizi anaweza kutokea siku ya msiba akambambikizia marehemu mtoto ili apate mali kirahisi.

Mtoto wa nje kupata urithi yafaa awe ametambulishwa na marehemu au apewe mali na baba yake akiwa hai, nje ya hapo ni upigaji.
Unaropoka. Yaani mtu anaweza tu ibuka na mtoto hatambuliki kokote na hana uthibitisho akakubaliwa? Basi kwa Mengi Reginald wangeenda wengi sana. Mtoto wa nje ya ndoa anakubalika vipi jiulize. Wangekuwa wanajaa sana kwa matajiri wakitaka urithi. Usiwe unakurupuka dogo.
 
Hakuna hiyo kwa Waislam. Sharia inatumika mahakamani.
Je, ni Mahakama gani iliyopo hapa Tanzania ambayo inatumia Sharia ya Kiislamu ili kutatua migogoro ya mirathi?? Unaweza kuzitaja pamoja na mifano hai ya Kesi za mirathi ambazo tayari zimeamuliwa na Mahakama hizo??
 
Kila mtoto ana haki ya kuridhi mali ya baba yake. Kama ingekuwa hivyo inavyosema hoteli za Ngurdoto, Impala na Natura Springs zingekuwepo mpaka leo. Mambo ya mali kupotea inatokea unapombato hovyo. Kuna wanasheria na ndugu wameatajirika kutoka kwa watoto wa nje. Maana watoto wengi wanarithi mali wakiwa hawana kitu. Wanasheria na ndugu wa marehemu wanaponea hapo. Kuepuka hivi nawashauri wanaume wenzangu ukitaka kuzaa nje zaa na mwanamke mwenye hela au kazi nzuri kuliko mkeo. Hata bank unakopa kuendeleza biashara na sio kuanzisha biashara. Vivyo hivyo kwa mpango wa kando. Zaa na mwanamme mwenye akili kuliko mkeo sio matak* . Unahangaika kutafuta mali wanakuja kufaidi watoto wa mjini. Wengine hadi mshikaji wako analeta mtoto wako wa nje aje apate kitu halafu yeye anachukua cha juu.
 
Hapa umewadanganya watu,
Sheria inampa haki mtoto yyte wa marehemu, ammbaye alimpa utambulisho kwa mke wake wa ndoa, inawatambua woote, haina mtoto wa nje wala wandani.
To add sheria za kimila zinataka mtoto yyte wa kiume kwenye uzao uwe wa ndoa au hawara ilimradi wa kiume, anakua mrithi wa kwanza kabla ya wale wa kike.
Sheria za kiislamu pekee ndio haazitambui mtoto wa nje, kama haukuachwa wosia.
Ila sheria zote zilizobaki haswa hizi za kiserikali ambazo wengi wetu tunafata.
Hata kama mke hajapewa utambulisho mtoto wa nje ya ndoa ana hakiya kurithi mali mimi nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe tunadanganyana sana.
 
Mahakama ndio muamuzi wa mwisho. lakini kwa kuangalia baba alimtambulisha mtoto
Kwani kina mama hawezi kutambulisha watoto wao kwa baba zaidi ya mmoja,na kila upande ukaamini huyu ni wakwetu,lakini siri anayo Mama na mtoto wake!!
 
Uislam upo wazi kwenye hilo, mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama, anaweza kumrithi mamake, lakini hana baba wa kumrithi, wala mama hana pesa za matumizi ya huyo mtotoi kwa huyo anayesema babake. Wala mama huyo hana urithi wowote.

Isipokuwa, baba akiwa hai na anaamini nimwanae tunamshauri kibinadam, siyo kisharia, ampe mali kama zawadi, siyo kurithi. Kumpa akiwa hai, kwani akifa hata kama kampa hapewi zaidi yua moja kwa tatu ya alichopewa kwenye wosia, tena wosia asiandike kuwa mwanae, amzawadie tu kama mtu yeyote yule.
Uwisilamu wako unakufundisha kuitenga damu yako kisa dini!!??
 
Back
Top Bottom