jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Alafu unakuta hao wanao kusema wenyewe wamechomekwa kimazabe kwenye family na wana ndoa wasio waaminifu kwa wenza wao,hasa wakikuangalia wwe na mshua mnavyo randana,wanaishia kusema wwe wa nje!!!!Sisi watoto wa nje ya Ndoa tunasemangwa sana .....ila hatukuchagua kuwa watoto wa nje ya Ndoa tumezaliwa tumejikuta humo
Acheni kutusemangaaaa