jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Nov 8, 2024 #41 Mwanamke wa mithali 31 said: Sisi watoto wa nje ya Ndoa tunasemangwa sana .....ila hatukuchagua kuwa watoto wa nje ya Ndoa tumezaliwa tumejikuta humo Acheni kutusemangaaaa Click to expand... Alafu unakuta hao wanao kusema wenyewe wamechomekwa kimazabe kwenye family na wana ndoa wasio waaminifu kwa wenza wao,hasa wakikuangalia wwe na mshua mnavyo randana,wanaishia kusema wwe wa nje!!!!
Mwanamke wa mithali 31 said: Sisi watoto wa nje ya Ndoa tunasemangwa sana .....ila hatukuchagua kuwa watoto wa nje ya Ndoa tumezaliwa tumejikuta humo Acheni kutusemangaaaa Click to expand... Alafu unakuta hao wanao kusema wenyewe wamechomekwa kimazabe kwenye family na wana ndoa wasio waaminifu kwa wenza wao,hasa wakikuangalia wwe na mshua mnavyo randana,wanaishia kusema wwe wa nje!!!!