nimeona mvi zimeshaanza kumtoka.Atakua kati ya 48-50
Siku moja kaja na mkanda wenye Buckle umandikwa Iddi nilimuangalia nikacheka tu.
Aaah nimekupata mkuu... Ila hao fujo zao zilikuwa zinaishia kwa mtoto wa Mahita... Huyo ndiye alisumbua sana utafikiri babake ni billionea anayemiliki viwanda kumbe mvaa magwanda tu..
Hili swali mbona halijibiwi? Maana wanasema marehemu kaacha mke na watoto wanne, hawasemi Kama kaacha wajukuu pia ...ina maana Regina, Rodney na Abdiel wote hawajafanikiwa kupata watoto?marehem ajaacha wajukuu jaman?
Basi bwana hiyo miaka ya awamu ya pili, MM alichemka majibu ya form IV. Alipelekwa kurudia Kiraeni, aliwachanganya watoto wa watu huko, wakawa wanapigana.
Kama marehem hajaacha wajukuu kuna kitu hapa sio bureHili swali mbona halijibiwi? Maana wanasema marehemu kaacha mke na watoto wanne, hawasemi Kama kaacha wajukuu pia ...ina maana Regina, Rodney na Abdiel wote hawajafanikiwa kupata watoto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuhh mtoto wa huyu tulisoma woote akiguswa anawaletea kigofu.
Rumours has it Regina ni mkoboaji na mpaka sasa hajaolewa wala hana watoto.
ana wajukuu saba (7), ila naona huwapendi ku-exposeHili swali mbona halijibiwi? Maana wanasema marehemu kaacha mke na watoto wanne, hawasemi Kama kaacha wajukuu pia ...ina maana Regina, Rodney na Abdiel wote hawajafanikiwa kupata watoto?
Alafu watoto wake wakubwa hawapo mstari wambele kiivyo,wanao onyeshwa ni vile vidogo tu sasa hao wajukuu uta wasikia vpana wajukuu saba (7), ila naona huwapendi ku-expose
Tukiitwa wote tuliopo JF mbona watu wataumbuka, wengi ni watu usioweza kuwategemea, wenye heshima na kazi zao.
Mimi ninapika chapati huku kwetu KwamtogoleKama mimi watu wakinikuta nakaanga chips na kuku watashangaa sana.
π π
Mkuu ni kweli?ana wajukuu saba (7), ila naona huwapendi ku-expose
Kenton bado ipo mkuu. Chimbo lipo pia ingawa limepooza.Hiyo lodge naifahamu. Inaitwa Bibi Errah lodge. Ipo Tabata Magengeni pale karibu na branch ya CRDB anapofanyia kazi Dataz.. Mbele kidogo ya kanisa jirani na shule ya Kenton (nasikia shule haipo siku hizi).
Chimbo moja matata sana!
Daah around 2019/2010 nilikuwa mdau sana pande zile mkuu. Chimbo tamu sana la kupumzika. Nitatimba tena siku moja kupaona.Kenton bado ipo mkuu. Chimbo lipo pia ingawa limepooza.