Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Siku moja kaja na mkanda wenye Buckle umandikwa Iddi nilimuangalia nikacheka tu.

page yake kule instagram ilikuwa imejaa picha za kula bata tu.

alipoingia tu jiwe madarakani akashusha picha zote. alikuwa anajiita number one fly boy(no1flyboy).

ila jiwe kajua kuwanyosha vijana wa mjini waliokuwa wanapenda show off.
 
Aaah nimekupata mkuu... Ila hao fujo zao zilikuwa zinaishia kwa mtoto wa Mahita... Huyo ndiye alisumbua sana utafikiri babake ni billionea anayemiliki viwanda kumbe mvaa magwanda tu..

Duuhh mtoto wa huyu tulisoma woote akiguswa anawaletea kigofu.
 
Hili swali mbona halijibiwi? Maana wanasema marehemu kaacha mke na watoto wanne, hawasemi Kama kaacha wajukuu pia ...ina maana Regina, Rodney na Abdiel wote hawajafanikiwa kupata watoto?
Kama marehem hajaacha wajukuu kuna kitu hapa sio bure
 
Abdiel na Regina
m%2B%25281%2529.jpeg
DreNv8VWsAAHVWT.jpeg
 
Hili swali mbona halijibiwi? Maana wanasema marehemu kaacha mke na watoto wanne, hawasemi Kama kaacha wajukuu pia ...ina maana Regina, Rodney na Abdiel wote hawajafanikiwa kupata watoto?
ana wajukuu saba (7), ila naona huwapendi ku-expose
 
Hiyo lodge naifahamu. Inaitwa Bibi Errah lodge. Ipo Tabata Magengeni pale karibu na branch ya CRDB anapofanyia kazi Dataz.. Mbele kidogo ya kanisa jirani na shule ya Kenton (nasikia shule haipo siku hizi).

Chimbo moja matata sana!
Kenton bado ipo mkuu. Chimbo lipo pia ingawa limepooza.
 
Kenton bado ipo mkuu. Chimbo lipo pia ingawa limepooza.
Daah around 2019/2010 nilikuwa mdau sana pande zile mkuu. Chimbo tamu sana la kupumzika. Nitatimba tena siku moja kupaona.

Kenton imedumu basi. Nilidhani nayo imebadilishwa matumizi kama pale St. Marry's kuwa Teachers College.

Mtaa ule pia alikuwa anapatikana mke wa former PM ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CHANETA, mama yetu.

Nimepamiss Tabata!
 
Back
Top Bottom