Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

Mtoto wa Mengi anakuwaje wa bukoba tena mkuu?? Alikuwa anakaa mikocheni
Mkuu hujanielewa.ngoja nikueleweshe kidogo. Sijasema watoto wa Mengi kwao Bukoba.nimesema kuna watoto wa kamanda Tibaigana walisumbia sana kitaa.hiyo familia ulikua na Lodge mitaa ya Tabata kanisani sasa wanae walikua wanawamaliza watoto wa tabata na around.sijui umenielewa?
 
Watoto wamelelewa vizuri ila mwenyewe kavuruga viwanda vya umma alivyokabidhiwa
Acha uongo labda upate ujui unachozungumzia,Je nikiwanda kipi cha umma alicho kabidhiwa?.
 

Aaah nimekupata mkuu... Ila hao fujo zao zilikuwa zinaishia kwa mtoto wa Mahita... Huyo ndiye alisumbua sana utafikiri babake ni billionea anayemiliki viwanda kumbe mvaa magwanda tu..
 
Hela ya halali inatumiwa kihalali hela haram ni full kujishebeduuua
 
Mengi alianza kuwatia displini watoto wake muda mrefu. Wakati tunacheza breakdance Upanga kina Abraham walikuwa wanatengeneza peni za BIC na baba yao katika kiwanda kidogo nyumbani kwao.

Kwa hiyo wamekaa kutafuta hela Zaidi.

Hiyo ya break dance inanikumbusha sea view 'air India' , viwanja vya Gymkhana , magorofani Ohio, IPS Building na mitaa ya bunge in the 80' nawakumbuka kinda Nico scaba scuba, mpeni, chuche, Marlon, mzee Bachu, Abel siwale, Tom Nhigula, Joseph tungaraza, usungu 'Young Millionaire ' sijui hawa watu wako wapi !!!!!!
 
Malezi na nidhamu toka utoton.pia tabia na mwenendo wa wazazi.jamii waliyotoka ina busara sana.kanda anayotoka pia ni sahihi kujitambua.hao watoto wangetokea kanda zetu zile aiseee tusingelala
 
Asante Mkuu hata Mimi siku wa nawafahamu.
 
Kwa jinsi Mzee Mengi anavyowindwa kuchafuliwa na mahasimu wake lazima wangetafuta namna ya kupata hizo picha au video akikoboana ili wamuaibishe..

Regina alishakuwa na mchumba, walikutana Vacation Italy ila kutambulishwa nyumbani Mzee akamkataa..
Unamjua vizuri Regina?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…