3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Miezi sita wamekuja kufanya nini ?
Hapana wakaroge huko huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi sita wamekuja kufanya nini ?
Hapana wakaroge huko huko
Anaombea wakue haraka awafaidi kuona saa 6 zao.Sio sawa kabisa anachungulia wanawe wa kike wakibadili nguo na kulala? Uzungu gan
Matibabu Muhimbili, baada ya operation kuna clinic follow up.
Ndio maana mm nimetega kamera vyumba vya watoto wangu wote wa kike na kiume.....
lazima niwacheki in a close range.....
sipendi surprise kabisa!
Ndugu wa Segerea anaishi kwenye chumba na sebule, ukoo mzima wewe mwenye vyumba vitatu self contained ndiyo don wao.Dah hatari sana
Wanakuaga na mambo ya Bushy Bushy sana ?!!
Leo kwa ndugu huyu Segerea Kesho kwa Yule Tegeta
Shift izingatiwe Tafadhali.
Sasa dawa yao ni kuwalaza sebuleni.. wakikosa nafasi hata ya kujamba kwa uhuru, Haitazidi wiki mbili wataaga[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weee ntawafukuza bora nionekane nba roho mbaya,.siwezi kuwatesa wanangu kisa jitu zima lenye mji wake aliyekuja kusalimia tuu,lol
Ndio maana mm nimetega kamera vyumba vya watoto wangu wote wa kike na kiume.....
lazima niwacheki in a close range.....
sipendi surprise kabisa!
Sawa,najitahidi kumwonya mkeo asipendelee sana kuwasema vibaya ndgzako wewe kwawatoto ,anawapa sugu mbaya kwani hadi waje wagundue mama yao aliwadanganya itakua too late...jitahdi wanachangia sana kutuharibia akija tu ndgu mitoto yote inachukiaNdio maana mm nimetega kamera vyumba vya watoto wangu wote wa kike na kiume.....
lazima niwacheki in a close range.....
sipendi surprise kabisa!
hayo ni mawazo yako tuSawa,najitahidi kumwonya mkeo asipendelee sana kuwasema vibaya ndgzako wewe kwawatoto ,anawapa sugu mbaya kwani hadi waje wagundue mama yao aliwadanganya itakua too late...jitahdi wanachangia sana kutuharibia akija tu ndgu mitoto yote inachukia
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sio watoto wakike tu, hata kwa wakiume kamera hazifai. Ongea na wanao, ila sio kuwa fatilia kwa mtindo huo.Acha Ujinga ww Camera za Nini kwenye Rooms
Hasa Watoto wa kike !!
Unataka uone Nini?
Ndg wa mkewangu wakija watoto wanafuraha tele ,lakini ndgzangu daaa basi kwakua nibaba nitafanyaje nabakiki najibu ndo mkewangu nitafanyaje!!!!hayo ni mawazo yako tu
kwa hivyo ndugu wa mama wanapofika na watoto wananuna wamepewa sumu na baba yao?
Khaaa jamii unayotokea mambo ya urogi ni mengi sana eti eeeMiezi sita wamekuja kufanya nini ?
Hapana wakaroge huko huko
Wadogo bado 9 mpaka 12.🥸🧐🧐 wana umri gan na unategemea kuzitoa wakifika umri gani
maana naliona tatizo mbele kama hizo camera zitadumu..
imagine teenager wa 15 to 18 unamuweke camera chumban kwake.. kama mzaz linafikirisha sana tafuta utaratibu mwingine unless wako under aged around below 10
Ndugu hawahawa naowajua wajue umewatengea mahali mtu anahamia kabisa na familia eti anakuja kutafuta maisha mjini, kumfukuza inakuwa tabu, basi home panakuwa km kambi una mke kila siku ni ugomvi mkeo mchoyo, mara leo kanisemesha ivi, mara tumekula dagaa toka juzi, utajutaHahahaha hatari ila haipendezi kulala na watu wengine kitanda kimoja au chumba kimoja,kama una utaratibu wa wageni ni bora uwe na mjengo mwingine pembeni kwa ajili ya wageni tu au kama una ukwasi wa kutosha unapiga floor mbili kwa ajili ya wageni.
Ndugu wa Segerea anaishi kwenye chumba na sebule, ukoo mzima wewe mwenye vyumba vitatu self contained ndiyo don wao.
Khaaa jamii unayotokea mambo ya urogi ni mengi sana eti eee