Watoto wa siku hizi hawatoi ushirikiano wa kulala na wageni vyumbani mwao

Asilimiza zaidi ya 60% ya watoto uharibiwa na ndugu wa karibu

Laleni sebukeni
 
Hata mimi watoto hawawezi kulala na mgeni hata siku moja,ni bora wao walale kwangu mimi nitandike mkeka sebuleni au nilale kwenye kochi...
Kabisa mkuu,hali si hali,..
Sawa mkuu lkn mtoa madaamesema umetembelewa na mama yako mazazi au mama mkwe.utafanya hivyo
Ndio,uzuri bibi yao (mamangu) hapendi pia kubanana kazoea nyumbani kwake kila chumba kinajitegemea,.hivyo tutampisha tuu ili awe huru,kama mazingira sio rafiki..
 
Ndio maana mm nimetega kamera vyumba vya watoto wangu wote wa kike na kiume.....
lazima niwacheki in a close range.....
sipendi surprise kabisa!
Wana umri gan? Kama ni above 15 years Umewakosea sana, hapo unawanyima uhuru wao wa faragha ebu jiulize siku wakijua watajisikiaje? Hapo wameisha zoea kujiachia wanapp kuwa vyumban kwao.
 
Kwanza anawawekea camera sbb ni kawaida yake kufikia na wageni wa mbio ndefu au kutaka tuu kujua wanafanya nini!!!!? Linafikirisha
 
Utandawazi
 
Na hivyo ndivyo inavyotakiwa
 
Ila ndugu mnnnh, lawama sana.

Tena naona bora ndugu zako wenyewe unaweza waambia kama mambo home sio fresh na wakakuelewa wakasepa.

Uwiii kuna ndugu wa ukweni. Unaweza hama uwaachie nyumba ukiwa na moyo mwepesi na mumeo ni wa kuyumbishwa.
Ndugu wa ukweni hasa wa mume wana sheeeder mara nyingi wa mke huwa hawakai, wa mume akija anataka umchukulie km mumeo dah
 
Jenga chumba cha wageni


Hayo ya kulaza watoto na wageni ni big no
 
KWa dunia ilivyopinda simshauri mzazi akubalianenna hilo wa wageni kulala na watoto. Watu wamepinda siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…