Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

Baada ya kuanza kulipwa, wajukuu nao walipwe! Huo ndio uzalendo!
 
Tutakula mpaka nyasi ili watoto wa viongozi walipwe asiyetaka ahamie burundi!!!
 
Bila kusahau na michepuko wajameni nayo ilipwe tu hamna namna................
 
Tuwalipe 5,000,000/_ Tshs maana wazazi wao hawana mshahara mkubwa na ni wazalendo wa Taifa hili, Sio wezi na wanajituma kuleta Maendeleo kwa vijana wa wazazi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…