Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Du kweli mpaka wale wanaochelewa kuzaliwa wahesabiwa, wakija walipwe huko mbeleni, waheshimiwa wakistaafu, kufidia haki ya kuchelewa kuja duniani.Naunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.
P
Sawa mkuu 😂 😁 🤣Nyie jiandikisheni kwa wingi, mjitokeze kupiga kura siku ikifika.
Bila kuwasahau marafiki wa watoto wa viongozi wetu wenye maono mapana!!Wote si wanatumikia nchi yetu?
Sioni sababu ya kuwaonea wivu.
Walipwe tuu.
Chawa na zwazwa sina mfano.WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo. Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha?
Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi. Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
WazingatiweBila kuwasahau marafiki wa watoto wa viongozi wetu wenye maono mapana!!
Mwambie shangazi yako awalipe, Mungu atamtengea viti vya mbele huko kwenye makazi yake.WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo. Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha?
Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi. Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Hapa ndipo penye code ya Uzi huu. Nimecheka sana 😂😂😂. We jamaa nakupongezaWatoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi. Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Nimeona huko juu kuna muungwana kaja na hasira mno. Hakuuelewa uziHapa ndipo penye code ya Uzi huu. Nimecheka sana 😂😂😂. We jamaa nakupongeza
Kabisaaaaa! 😂😂😂. Akili kubwa sana imetumikaNimeona huko juu kuna muungwana kaja na hasira mno. Hakuuelewa uzi
Kwahiyo Viongozi wakiwa na Watoto 10 Wote walipwe... Aiseee Hili litakuwa Wazo zuri Saana Viongozi wanapitia Magumu Saana Ktk kuendesha Majukumu yaoNaunga mkono hoja, ila malipo hayo sio kwa ajili ya kuwatia moyo bali ni compensation of loss of parental love and parental quality time with their children and kupunguza mateso ya ridicule kwa wazazi wao, wao ndio waathirika.
P
Wanaopitia magumu sio viongozi,bali ni watoto wao!, wao viongozi wanawakibika kutimiza majukumu yao ya kiuongozi,katika hilo,watoto wanaathirika kukosa mapenzi ya baba, hivyo malipo hayo ni compensations。Kwahiyo Viongozi wakiwa na Watoto 10 Wote walipwe... Aiseee Hili litakuwa Wazo zuri Saana Viongozi wanapitia Magumu Saana Ktk kuendesha Majukumu yao