binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mtibeli kwanini unatukana? Hahah nimecheka hilo jibu.Mawazo yako ndio ya kikum ndio maana cha kwanza kufikiria ni hiyo kum
Yaah haina shida maex za ndugu wa viongozi pia walipwe.😂Chain itakuwa ndefu sana mkuu,unaweza kushangaa zali linanikuta hata mimi mlalahoi milimani huku tena kimasihara kabisa. The rest,tupige kazi ili ipatikane posho ya wakubwa. Roho mbaya haijengi[emoji3]
Mtibeli kwanini unatukana? Hahah nimecheka hilo jibu.
Anyways asante kwa kuwatetea watoto wangu mwaka 2045 nao watalipwa! 😅
Aisee walipwe tu, mfano boss wangu anaweza kukaa nje ya familia yake miezi sita na yupo hapahapa nchini. Kuna siku mke wake alimfuata ofisini analia sisi manyokaa tukajikataa kupisha uchunguzi.
Wewe ndio Troublemaker(Kivuruge) OG[emoji1787][emoji1787]Yaah haina shida maex za ndugu wa viongozi pia walipwe.[emoji23]
Na wajukuu na vizazi vyao walipwe tu mjinga wee mtoa mada. Kwa kuwalipa unasema ni maendeleo maendeleo kivipi kama sio unyonyaji tu wa umma.WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
🤣 faida yake ni sawa na kutwanga maji kwenye kinuHekta Moja ya matikiti inatoa faida ya Bilioni ngapi ndugu motivesheno spika?[emoji3]
Kama ndio hivyo tutatoboa kweli?[emoji1787][emoji1787] faida yake ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
Na wajukuu na vizazi vyao walipwe tu mjinga wee mtoa mada. Kwa kuwalipa unasema ni maendeleo maendeleo kivipi kama sio unyonyaji tu wa umma.
Umesahau TPDF na wajukuu wao!WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Kama tutafikia huku ni wazi nchi itapitia mpasuko na migawanyiko mikubwa ambayo itasababisha jinai kitendekaWATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Watu wanakopa mabilio kila sikuuu miradii hakuna kinachoendeleaa...iliyoanza kazi nayo inakufaaaa...shit hole country.
Naingia mkono hoja, kwa kuongeza, na michepuko yao iingizwe kwenye payroll.ilipwe kwa kazi nzuri ya kuwaliwaza wakuu wetu.WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi.
Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali zaidi kuchochea maendeleo ya nchi yetu kwa kuwalipa na watoto wa viongozi wa taifa letu tukufu.
Watoto wa Marais Walipwe.
Watoto wa Makamu wa rais Walipwe.
Watoto wa Spika wa bunge walipwe
Watoto wa Waziri Mkuu walipwe!
Watoto wa Jaji Mkuu walipwe.
Watoto wa Ma-IGP walipwe.
Watoto wa Wakurugenzi wakuu wa TISS walipwe.
Wapewe Mishahara hata milioni moja au mbili au tatu hivi kwa mwezi. Hayo ndio maendeleo.
Wazazi wao wanatumikia nchi hilo nani atabisha? Wazazi wao wanatumia muda mwingi nje ya familia zao na kuhangaikia nchi, nani anabisha? Wazazi wao wanatukanwa na wananchi wakati mwingine bila kosa nani anabisha?
Walipwe! Walipwe! Tuwalipe! Kodi ni zetu na wao ni viongozi wetu. Tunafurahi wakilipwa. Sisi tutawatumikia kama wao wanavyotutumikia ili kuiendeleza nchi.
Watoto wa viongozi jiandaeni. Tutawalipa kila mwezi.
Ni bora tuwalipe tuu kuliko mjilipe wenyewe kwa kificho. Hata tusipowalipa tunajua mtajilipa kivyovyote tuu.
Muswada upelekwe bungeni, kisha upitishwe. Watoto nao walipwe.
Ambao hawataki wahame nchi.
Tusiishie kuwalipa Wenza wao(waume na wake zao) twendeni mbele zaidi. Tuwe na jicho la mbali kama tai.
Mimi nimemaliza, hayo ni mawazo yangu. Kama hutaki hayo ni mawazo yako na kwangu sio shida.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Naunga mkono hoja na sisi vibenten wasitusahau.Msiisahau michepuko yao jamani. Muhimu sana
Vipi kama ungekuwa upo kundi la wanaopendekezwa kulipwa🤔Hapana walalahoi wakomae na ujasiriamali ili zipatikane kodi za kuwalipa wakubwa na watoto wao woooote[emoji3]
Tunafanya hadi jasho limescale mwilini🏃Uliwahi kuona mtu analipwa kwa sababu ya kulala Mkuu?
Fanyeni kazi nyie