Tukirudi kwenye kampeni za
kataa ndoa
Kuna wanaokataa sababu ya tabia za wanawake wa sasa
Kwa sasa mwanamke analindwa zaidi kwa kigezo cha 50/50 (haki sawa)
Wanawake wa sasa wanaviburi haswa pindi wanapoolewa kwa madai kwamba ukimwacha mtagawana mali pasu kwa pasu (mimi ni muhanga wa hili nilimuachia achukue kila kitu nikaanza upya)
Wanawake wa sasa kwa asilimia kubwa (sio wote) wanaolewa kwa ajili ya kupata mali pindi wanapoachika na hapa ndipo inapokuja kauli ya
Ndoa ni utapeli
Wanawake wa sasa wanachukulia ndoa ni kama ajira (afadhari wangekuwa hawaichezei sasa lakuni wao wataanza kukupiga matukio ili mradi tu muachane ili aende mahakamani kufungua madai ya kugawana mali)
Kundi la pili ndo hao mashoga ila nao wanaingia kwenye kampeni za
KATAA NDOA
Hili kundi la pili sijui wanaingia kwenye hizi kampeni kwa madai gani, maana na wenyewe wanaolewa mbona(hapa naweza kuwa tofauti na mkuu
Mshana Jr kwa kusema wanaoeneza kampeni za kataa ndoa ni mashoga wakati hao mashoga wenyewe wanaolewa kama kawaida
KUISHI NA MWANAMKE BILA HIZI NDOA ZA MAKARATASI NI RAHISI ZAIDI
Hata akienda mahakamani unajua pa kutokea haswa ukutane na mtu kama mimi ambaye sijawahi kushindwa lazima uchemke
Kuna hizi ndoa za kiroho ambazo mnajikuta mmetengeneza bond automatically ambayo hata mkigombana mnasuruhishana wenyewe tu bila kusumbuana na maisha yanaendelea
Nasisitiza jambo moja, kampeni za
KATAA NDOA zitaendelea mpaka serikali itakapoingilia kati kwa kutoa ufeminist kwa madai ya haki sawa 50/50, iruhusu mfumo dume utumike
kwa sasa mwanamke ukimchapa kofi moja tu akienda kukushitaki kazi unayo
ukitumia busara utaonekana zoba
Mnataka tufanyaje???????
HATUFUNGI NDOA ILA TUTAOA, MWANAMKE MKIKUBALIANA KWAMBA NDANI UTUMIKE MFUMO DUME MNAWEZA KUISHI VIZURI TU ILA SIO UNAISHI NA MWANAMKE NDANI ILA NA YEYE ANATAKA AWE JUU, UNAKULA MAKOFI KISHA UNAENDA MAHAKAMANI, NAKULIPA KISHA TUNAACHANA na narudi kuendeleza kampeni za KATAA NDOA