Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

f267bf91-a9dc-45ff-8035-182979b2caca.jpg

f267bf91-a9dc-45ff-8035-182979b2caca.jpg

f267bf91-a9dc-45ff-8035-182979b2caca.jpg

Hongera sana Museveni kwa kukataa ushoga Uganda, tunataka na sisi hapa bongo litokee katazo la kisheria. Tuwakatae mashoga
 
Tukirudi kwenye kampeni za kataa ndoa

Kuna wanaokataa sababu ya tabia za wanawake wa sasa
Kwa sasa mwanamke analindwa zaidi kwa kigezo cha 50/50 (haki sawa)

Wanawake wa sasa wanaviburi haswa pindi wanapoolewa kwa madai kwamba ukimwacha mtagawana mali pasu kwa pasu (mimi ni muhanga wa hili nilimuachia achukue kila kitu nikaanza upya)

Wanawake wa sasa kwa asilimia kubwa (sio wote) wanaolewa kwa ajili ya kupata mali pindi wanapoachika na hapa ndipo inapokuja kauli ya Ndoa ni utapeli

Wanawake wa sasa wanachukulia ndoa ni kama ajira (afadhari wangekuwa hawaichezei sasa lakuni wao wataanza kukupiga matukio ili mradi tu muachane ili aende mahakamani kufungua madai ya kugawana mali)

Kundi la pili ndo hao mashoga ila nao wanaingia kwenye kampeni za KATAA NDOA
Hili kundi la pili sijui wanaingia kwenye hizi kampeni kwa madai gani, maana na wenyewe wanaolewa mbona(hapa naweza kuwa tofauti na mkuu Mshana Jr kwa kusema wanaoeneza kampeni za kataa ndoa ni mashoga wakati hao mashoga wenyewe wanaolewa kama kawaida

KUISHI NA MWANAMKE BILA HIZI NDOA ZA MAKARATASI NI RAHISI ZAIDI
Hata akienda mahakamani unajua pa kutokea haswa ukutane na mtu kama mimi ambaye sijawahi kushindwa lazima uchemke

Kuna hizi ndoa za kiroho ambazo mnajikuta mmetengeneza bond automatically ambayo hata mkigombana mnasuruhishana wenyewe tu bila kusumbuana na maisha yanaendelea

Nasisitiza jambo moja, kampeni za KATAA NDOA zitaendelea mpaka serikali itakapoingilia kati kwa kutoa ufeminist kwa madai ya haki sawa 50/50, iruhusu mfumo dume utumike

kwa sasa mwanamke ukimchapa kofi moja tu akienda kukushitaki kazi unayo

ukitumia busara utaonekana zoba

Mnataka tufanyaje???????

HATUFUNGI NDOA ILA TUTAOA, MWANAMKE MKIKUBALIANA KWAMBA NDANI UTUMIKE MFUMO DUME MNAWEZA KUISHI VIZURI TU ILA SIO UNAISHI NA MWANAMKE NDANI ILA NA YEYE ANATAKA AWE JUU, UNAKULA MAKOFI KISHA UNAENDA MAHAKAMANI, NAKULIPA KISHA TUNAACHANA na narudi kuendeleza kampeni za KATAA NDOA
 
Ana familia, monalisa alikuwa mke wa pili
Kuna kitu ngoja nikiweke sawa kuhusu hili sakata na pengine kinaweza kutufunua kwamba pemgine mtoto hapaswi kulaumiwa
Monalisa alikuwa mke wa ndoa wa 'Tyson' Mkenya aliyekuwa kwenye industry ya filamu Tanzania, baadae alimpeleka Kenya kusomea zaidi mambo ya filamu lakini Mona akazingua na kupigwa chini wakiwa tayari na mtoto mmoja yule wa kike
Ikabidi arudi bongo na life likawa tough sana na stress za kutosha zilizompelekea kujiingiza kwenye madawa ya kulevya by then kituo chao kilikuwa shule ya uhuru pale mataa kwa nyuma
Huko ndio alikutana na baba huyu mtoto wote wakiwa mateja na kupeana ujauzito wa huyu kijana.. Kwahiyo utotoni mtoto akakulia mazingira ya uteja wa wazazi
Kufupisha story wote waliweza kuchomoka huko, sasa kama jamaa alikuwa na mke mwingine Zenji hilo sifahamu ila kuna maisha fulani ya kigeto mtoto aliwahi kupitia
 
Back
Top Bottom