Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

Hatari sana

Ova
 
Huku unakemea mtoto wa monalisa kua shoga, huku unamwambia Shoga wa JF akutafute ASAP. Mshana vipi mzee?

Unamuita mjukuu?

Hii vita mbona tumeshindwa mapema sana mazee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachukulia serious kiasi hiki?? Mbna utashindwa kufanyaa yakooo, poleeeeeeeeh
 
Huyo ni NGAPUlila ndiyo maana anapenda sana mada za UGASHO na anazitetea to the maximum.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ukichukia na kupingaa wee inatoshaaa, kila mtu ana uhuru wa kuchagua anacho kiamini.
 
Kuna lishoga humu ni limaarufu na linajitangaza kabisa ila mod wameliacha yani ukisoma mwandiko wake harufu ya mavi hii hapa, walipe life ban
Tumeshaandika sana humu kuwa hata hizi mada za ushoga zisiruhusiwe kuwepo, zifutwe !!!!

Ila bado zinapostiwa tu
 
Humu kuna cocastic, King Kong III, allency. Wote Hawa wanasupport ushoga lakini admins hawachukui hatua yoyote
Wee Nick hebu tulizana, huo mda wa kufuatilia kuhusu mie,.si ungekua buzzy kuombana msamaha na mama zurii.

Ndo maana umeachwaaa, unaacha yanayo kuhusu Una hangaika na ya wengine mxxxxieeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuanze kampeni ya ku unfolliw hawa wapuuzi wote na hata nyimbo zao tuzikatae Mm nimesha unfolliw wasanii wote wajinga nimeanza na Chai japa , na majaba yake yote nikampiga chini chamaki nchanga
Jamanii😅😅😅
 
Pengine kuna mengi siyajui naweza kuwa nakutetea kumbe naonekana nauma na kupuliza mjukuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae babuuu, sasa JF inakuweka serious hvyoo??

Yaan wabongo sijui wakojeee, hope unajua lakini how about me. Japo sio sanaa.

Yaan wanataka wote tuchukie, sasa mie inahusu nn mtu kaamua kutumia mwili wake atakavyo
 
Mmh...[emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Basi mjukuu ngoja ibaki vile nikujuavyo 'japo sio kivile'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ukichukia na kupingaa wee inatoshaaa, kila mtu ana uhuru wa kuchagua anacho kiamini.

Sawa wewe endelea kuamini kwenye USODOMA na GOMOLA ,Uzuri Diapers zipo hadi za wakubwa! Inahuzunisha kwa mzazi kuwa na mtoto shoga! Hadi Mh Samia juzi alikemea mambo ya upinde ,alikuwa anawahasa wanafunzi kwamba waige mambo mengine ya nje kama mavazi ,tech etc lakini sio kuiga u-rainbow.
 
Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani....

Wasanii ni role model wa watoto wetu, how ????

Mzazi gani ana mtoto anae aspire kuwa Monalisa ?? Mara muigizaji, mara teja, mara kazaa kule mara kazaa huku....

Ukiwa na mtoto mwenye aspirations za kuwa msanii hilo ni kosa lako mzazi, na utakuwa labda husomeshi, maana huoni uchungu wala umuhimu wa kusomesha, na wewe mwenyewe labda hukusoma. Kwa saab unakubalije mtoto awe na role model illiterate ?

Wasanii hawapaswi kukubalika kuwa role model wa mtoto wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…