Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Humu kuna cocastic, King Kong III, allency. Wote Hawa wanasupport ushoga lakini admins hawachukui hatua yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaHumu ndani watu kwa unafki tu hawajambo, huyo dogo kwenye bio yake kaandika "Allah first" ila ndio kashajitangaza kuwa yeye ni Shoga
ila kuna kundi Fulani la watu wameuchuna kimyaaaa kama hawajaona vile, laiti kama hapo kwenye Allah first ingekuwa pameandikwa "Jesus is Lord"
dhamira nzima ya huu Uzi ingekufa na tungeingia kwenye issue za UDINI, jamani kama mmeamua vita za kupinga ushoga basi wekeni udini pembeni na kuokoa vijana wenu
Hizi dini zilipofikia ni kuwagawa na kufanya msahau kama nyie wote ni ndugu, kinachofanya mwingine ni Muslim na mwingine ni Christian inategemea na amezaliwa katika ukoo upi, sehemu gani
Mnafanya watu wasioamini katika Dini kuongezeka kila siku, maana Dini zenu hazihubiri upendo tena bali ni chuki na uadui
View attachment 2532512
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nn???Let me reserve my comment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kakuambia nimefuta, ilipoteaa bhanaa kwenye diary, nichek wee bhana.Namba umefuta basi..kwaheri [emoji23]
Fafanua mkuuHumu kuna cocastic, King Kong III, allency. Wote Hawa wanasupport ushoga lakini admins hawachukui hatua yoyote
Rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani kakuambia nimefuta, ilipoteaa bhanaa kwenye diary, nichek wee bhana.
Ntafute bhana babuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachukulia serious kiasi hiki?? Mbna utashindwa kufanyaa yakooo, poleeeeeeeehHuku unakemea mtoto wa monalisa kua shoga, huku unamwambia Shoga wa JF akutafute ASAP. Mshana vipi mzee?
Unamuita mjukuu?
Hii vita mbona tumeshindwa mapema sana mazee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ukichukia na kupingaa wee inatoshaaa, kila mtu ana uhuru wa kuchagua anacho kiamini.Huyo ni NGAPUlila ndiyo maana anapenda sana mada za UGASHO na anazitetea to the maximum.
Tumeshaandika sana humu kuwa hata hizi mada za ushoga zisiruhusiwe kuwepo, zifutwe !!!!Kuna lishoga humu ni limaarufu na linajitangaza kabisa ila mod wameliacha yani ukisoma mwandiko wake harufu ya mavi hii hapa, walipe life ban
Wee Nick hebu tulizana, huo mda wa kufuatilia kuhusu mie,.si ungekua buzzy kuombana msamaha na mama zurii.Humu kuna cocastic, King Kong III, allency. Wote Hawa wanasupport ushoga lakini admins hawachukui hatua yoyote
Jamanii😅😅😅Tuanze kampeni ya ku unfolliw hawa wapuuzi wote na hata nyimbo zao tuzikatae Mm nimesha unfolliw wasanii wote wajinga nimeanza na Chai japa , na majaba yake yote nikampiga chini chamaki nchanga
Abeeeeh rafiki.Rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae babuuu, sasa JF inakuweka serious hvyoo??Pengine kuna mengi siyajui naweza kuwa nakutetea kumbe naonekana nauma na kupuliza mjukuu
Mmh...[emoji3064][emoji848][emoji2827]Wee Nick hebu tulizana, huo mda wa kufuatilia kuhusu mie,.si ungekua buzzy kuombana msamaha na mama zurii.
Ndo maana umeachwaaa, unaacha yanayo kuhusu Una hangaika na ya wengine mxxxxieeeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nn babuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh...[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Basi mjukuu ngoja ibaki vile nikujuavyo 'japo sio kivile'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nae babuuu, sasa JF inakuweka serious hvyoo??
Yaan wabongo sijui wakojeee, hope unajua lakini how about me. Japo sio sanaa.
Yaan wanataka wote tuchukie, sasa mie inahusu nn mtu kaamua kutumia mwili wake atakavyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa ukichukia na kupingaa wee inatoshaaa, kila mtu ana uhuru wa kuchagua anacho kiamini.
Wasanii wetu ni role models wa vijana wetu. Vijana wetu, watoto wetu hutamani, huwa na ndoto za kuwa kama fulani....