Na sahv kila mtoto anataka awe msanii kama fulani au mtangazaj fulani
Ova
Na deliscious walitoka siku ya tatu kwa milioni tano. Watu walidhani wangekosa fedha za kulipa waozee huko. Wengine walishabikia kwamba wangeolewa huko jela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Delicious alipokamatwaa, akasema nataka mabasha wangu wote niwatajeee waje hapa, mbna chapuuu aliachiwaaaaaa.
Makondaa nae sakata LA saka mashoga Dar, serikali ili mkana km haimjui vileee, ile Barua kila nikiisomaa huwa nachekaa hadi machozi. Woiiiiiih
Halafu tena ni mvaa kobazi! Duh
Usilee toto lako kama lile toto la bibi kizee uwoya.Mungu simama na sisi[emoji22].
Mim sina malezi ya kijinga jinga.Usilee toto lako kama lile toto la bibi kizee uwoya.
mbona unatia aibu, unauliza monalisa ni nani, kwani we umezaliwa mwaka gani ili tukujuze umfahamu?Aisee wakuu bado kiza kwangu huyu monalisa ni nani?
Aseeehhhh.... Mtihani mnoooUnadhani hiyo inatosha, inaweza kusaidia yes ila ni kwa sehemu ndogo sana.
Ngoja nikupe hiki kisa...
Namfahamu ndugu mmoja, amezaliwa na kukulia kwenye familia very strict. Mama wakikurya hakutoa uhuru wowote kwa watoto, baba wakikurya hakudekeza mtoto yeyote.
Mlengwa ninayemzungumzia alisoma day until Advance level TUSIIME.
Kufupisha story, huyu kijana ni shoga wa kutupwa. Ananunua vijana wa chuo anawalipa kwa kazi moja tuu.
Mimi nimekaanae ofisini akiwa superior wangu, aisee nyie acheni tuu..
Alijitahidi ila mwisho wa siku aliniweka wazi tuu kua yeye ni wa vipi. Alimpangia nyumba kijana mmoja wa chuo, akamfungulia duka, na bado kila wiki anamtumia hela ya kula mpaka hela ya gym. Ofisi ilikua wilayani, so ikifika ijumaa jamaa huyoo. Kurudi ofisini ni jumatatu asubuhi.
Yeah naunga mkono hoja matokeo ya single parent na kuzungukwa na wanawake tupu dada bibi sijui nani nakujifanya wazungu matokeo yake ndio hayaMatokeo ya malezi ya single parent[emoji848][emoji2827]
Zamani watu walikuwa wanaulizwa.. Hujaoa/hujaolewa mpaka sasa una matatizo gani?Narudia kuandika tena, kuoa na kuolewa ilikuwa ni lazima katika jamii zetu. Usipooa au kuolewa wakati una sifa na utimamu wa akili na afya ya mwili unasimangwa na jamii yako mpaka unaoa au kuolewa tu...
mkuu hii zamani ninayoiandika bado ipo mpaka sasa japo inapita kwa kasi kutokana na mitindo ya maisha jamii inayoishi.Zamani watu walikuwa wanaulizwa.. Hujaoa/hujaolewa mpaka sasa una matatizo gani?
SureHii ni agenda kutoka kuzimu.
hawa wenye kuendesha kampeni ya kataa ndoa ni wapuuzi na washenzi, ukiwauliza kuhusu uzazi na malezi hawajibu. Hawa washenzi ndio hao waliolelewa na kukua bila baba. Hawa watakuwa ni mashoga na wasagaji. Eti wanadai ndoa ni kifungo, hoja ya kipuuzi sana hiiHii ni agenda kutoka kuzimu.
Haina shaka hao ni mashoga.hawa wenye kuendesha kampeni ya kataa ndoa ni wapuuzi na washenzi, ukiwauliza kuhusu uzazi na malezi hawajibu. Hawa washenzi ndio hao waliolelewa na kukua bila baba. Hawa watakuwa ni mashoga na wasagaji. Eti wanadai ndoa ni kifungo, hoja ya kipuuzi sana hii
Wamekuja na shambulizi kali dhidi ya ndoa, vijana wasipochekecha wataharabiwa na kampeni hiyo, maana hoja wanazojenga zina mashiko kulingana na jinsi maadili ya ndoa yalivyoshuka kwa kasi ya kutisha. Ni kampeni nzito inayopaswa kupingwa kwa nguvu zote ili kulinda jamii isiangamizwe na ushenzi huoHaina shaka hao ni mashoga.
Kubishana nao jua unabishana na lishoga...mwenye maumbile ya kawaida hawezi kukashifu na kukejeli ndoa kwa kiasi wanachokejeli hawa mashoga